Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Unachomokaje wakati mihimili yote iko Chini ya rais? Mbowe atahukumiwa, atatolewa kwa msamaha wa rais
kwahiyo hapo sheria tena haipo etiee.. ni maamuzi tu ya mama akiamua.. na ili iweje
 
Shahidi;Afande Boazi alimshauri Dennis Urio, aendelee kutoa ushirikiano na kushirki vitendo hivyo lakini aendelee kuripoti vitendo hivyo polisi

Duu japo mimi si mwanasheria mpaka hapo mbona gaidi ameshajulikana... hivi unaweza kuletewa taarifa ya uhalifu kupangwa kufanyika mahali na kiongozi akashauri fanyeni halafu ulete taarifa?
 
hawa wawakilishi ubalozi kunajambo wanalifatilia waone kwa macho yao hawataki kuongopewa.. hapa kuna jambo litajiri baada ya kesi kumalizika
Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga

Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji
 
Kwa hiyo huyu shahidi anawajua makomandoo. MBOWE ana miaka mingapi ya uenyekiti mpaka aje aombe makomandoo.kwa RPC?

Kwani tangu lini polisi wakawa washauri wa Mbowe. Yaani ni Mbowe huyu kila siku anapewa makesi ya kubuma.

Ni kweli ile kauli ya awamu hii huchomoki inafanyakazi.
 
Mkuu vyanzo vya taarifa (informers) ili apate taarifa sahihi ni lazima nae ashiriki katika uhalafu.
 
Mmh,magidi na kete za heroine??? Haya ngoja tuone!!
 
duh hicho kizimba cha mahakamani bora ukisikie tu!

unawezafungwa kwa kujichanganya tu

hata hivyo naamini haki itatendeka kwa wote.
 
We unalalamika unaijua kesi weweeeee[emoji2955]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…