Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

The Google is in your hand friend
Alimtukanaje mkuu??

Kuna kuongea ukwel ukaona alitukanwa , pia Kuna kutoa maneno machafu yaani matusi il kukamilisha kitendo Cha kutukana!

Alimtukana matusi gani mkuu!?
 

hii inaitwa #KARMA
 
picha imeungua kivipi kwa hao watu kusema ukweli, watu hufukuzwa kazi kwa sababu mbali mbali, watu wengi wanafahamia, kile tunasubiri ni ushahidi toka kwa dpp ya kuwa walitenda kile wanasitakiwa nacho PERIOD, mengine porojo tu
Kwani hawa watu mashtaka yao yanahusu kuacha kazi ya Jeshi? mbona tunapotoshwa hivi, sisi tusubiri huo ushahidi aliotuthibitishia Inspecta Jenerali wa jeshi letu la usalama wetu na mali zetu kwamba hawa watu ni magaidi, hakusema kwamba wanabisha kuwahi kuwa ni waajiriwa wa JWTZ.
Pia alituambia tumuulize Mbowe kama yeye ni malaika au hapana?
 
Tunaendelea na MAOMBI yetu kimya kimya nchi nzima na Mungu wetu Hakika atatujibu MAOMBI yetu kama alivyotujibu Kwa mwendazake. Nuru na Giza haziwezi kukaa pamoja hata siku moja.
 
Mbona nilikuepo mahakamani na awajasema hivyo , acha kuokoteza habari. Leo niliamkia sinza pale school of law nashangaa unapo- post uongo mtu mzima kama wewe.
Kesi ndio inasikiliziwa hapo?
 
Makomandoo wanafukuzwa na kuachwa wanadhurula kama mgambo

Hii nchi ina uozo

Utakuwa umekosea nafikiri ilitakiwa isomeke makamanda wa geshi hata chadema nao huitana makamanda. Neno Komando wa JWTZ lisichukuliwe kimzaha mzaha jamani.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Mbona tulioshangilia tuko wengi na bado tunaendelea kushangilia na hamna kitu.

Kufa ni kufa tu yeye keshatangulia akasubiri tu hukumu yake kwa maovu aliyowafanyia watanzania. Alikwepa hukumu ya hapa huko hakukwepeki.
 
sioni picha yoyote kungua......... wangapi wanaachishwa kazi, wa mabato 1200 unamsemaje? Ni gaidi?
 
Hii Ina maana kwamba ukishakuwa komandoo una kila sababu ya kuja kuwa gaidi

Naona serikali inatafuta ugomvi wasiouweza [emoji1787][emoji1787][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…