Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

Mbona nilikuepo mahakamani na awajasema hivyo , acha kuokoteza habari. Leo niliamkia sinza pale school of law nashangaa unapo- post uongo mtu mzima kama wewe.
Aibu iwe juu yake. Uongo, uongo mtupu. Anajifariji baada yakuona hali inaelekea kinyume na matakwa yake.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Kifo chake ilikua halali kabisa mana shetani huwa haishi na ambao sio mashetani,huwezi kua na rais kichaa mwenye file mirembe,muulize dialo atakuambia jamaa alikua kichaa kabisa,ccm oyeer
 
Tunaendelea na MAOMBI yetu kimya kimya nchi nzima na Mungu wetu Hakika atatujibu MAOMBI yetu kama alivyotujibu Kwa mwendazake. Nuru na Giza haziwezi kukaa pamoja hata siku moja.
Mungu wenu yupi? Kama wewe unamuamini Mungu na kumtegemea Mungu kweli fanya vitu ukiwa na uhakika kuwa vinatoka kwa Mungu. Na si kufanya vitu kwa hisia
 
Ninahisi kwa viungo hivi chakula kitakuwa na mboga yenye ladha tamu sana.
 
Mbona tulioshangilia tuko wengi na bado tunaendelea kushangilia na hamna kitu.

Kufa ni kufa tu yeye keshatangulia akasubiri tu hukumu yake kwa maovu aliyowafanyia watanzania. Alikwepa hukumu ya hapa huko hakukwepeki.
Pia tambua Mungu hahukumu kwa kufuata maneno ya mwanadamu. NJIA za Mungu si Kama za mwanadamu. Halafu pia kajifunze kidogo kuhusu habari za Nebukadreza. Ukitaka kujua mawazo ya Mungu muulize Mungu mwenyewe.

6Sasa nimemkabidhi mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babuloni, nchi hizi zote; kadhalika nimempa wanyama wa porini wamtumikie. 7Mataifa yote yatamtumikia yeye, mwanawe na mjukuu wake, mpaka wakati nchi yake itakapoanguka. Kisha mataifa mengi na wafalme wengi watamfanya kuwa mtumwa wao.

Yeremia 27
 
Mbowe nilikuheshimu sana lkn kumtukana hayati magufuli sitakuhurumia tena
Maggufuli anapaswa kuonyeshwa dhambi zake kuwa muuaji kuendesha kimundi cha mauaji dhulumat wa maliza watu rooho mbaya na uchawi wa kuonea watu nadhani mungu amemuonyesha jia ya malucifer
 
Kumbe ni watetezi Tv......irrelevant news source!!!
 
huy
huyu anaitwa Freeman sasa atafungwje alichatoka kabla ya kufungwa jina linambeba
 
SIAMINI KAMA SERIKALI INAWEZA KUFUKUZA KAZI MAKOMANDOO WATATU KWA MAKOSA MBALIMBALI.
 
Picha inaungua kwa kasi sana. Cross examination ya mshahidi wa utetezi ambao ndio washtakiwa itakuwa muhimu sana kutoka kwa mawakili wa mashtaka!! Gaidi anasema aliwekewa madawa na bastola. Huku akisema pia kuwa maelezo yalindikwa tu na yeye kusaini tu tena bila kusoma!! Tena baada ya kupigwa na kutesa.

Picha imekuwa ya ajabu sana!!
 
Laana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…