Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

Laana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Ndoto ya u DED bado inakusumbua.ndo amekufa ivyo
 
Huyo hayati mwendakuzimu ni mungu asitukanwe!!!
Misukule mnaoabudu binadamu mnatakiwa muombewe usukule uwafunguke.
 
Hujui kitu, kaa kimya.
 
Dudumizi na usalama WAKO WA Taifa..unaongea matusi. Hebu kuwa Naomi.Angalia mwenendo WA mashitaka unavyokwenda. Acha kuhukumu. Najua nafasi uliyo NAYO ndio inakulevia,ili watu wakometi uje uwateke.
 
Hujui kitu, kaa kimya.
Unataka katiba mpya halafu wakati hata dola huna unanizuia mimi kutumia uhuru wangu wa kutoa maoni kwa mjibu wa katiba- Mkuu tuheshimiane basi.
 
Kuna shida gani ukiwa umewahi fanya kazi na mshakiwa mwenzako.? Mbona hawajaonyesha connection yeyote ya ugaidi hadi sasa
 
Laana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Magufuli kafaa kwa laana ya kuuwa kutukana wstu hata walewaliomzidi umri kamaakina mpango kabudi maraisi waastafu kama akina kikwete wanafunzi dodoma university wanajeshi mabeyo polisi yuleigp aliyempa ubalozi burundi wanawake na wasichana mabalozi wa nchi za nje kama yule waEu wawekezaji viongozi wa dini na wananchi aliomuamuru sirro awe anatulaza maana atuuwe huyo alaanike. Hukokaburi na kizazi chake chote milele na milele
 
Laana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Ulilia peke yako, na kwa sababu zako.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Na ingekuwa kuna kufa zaidi ya maramoja nu bora angekufa tena. Mtu hapatI lá kumwombea mabaya muuaji.
 
Hebu tuambie imeungulia wapi. Maana HAO mabwana zako NDO yanawagonga kwenye chupi. Niambie I niwapi upande WA serekali umenyooka.
 
hahahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…