Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

Kwa kosa lipi! Ujinga wa sukuma gang ni mwingi.
Mwenyekiti wa chama na genge lake mavi yanagonga chupi. Hata hivyo bado wana nafasi ya kutubu dhambi zao za kumtukana hayati Magufuli ili laana waliyo nayo sasa iwatoke, na hatimae kutusua mfano wa ngamia apenyae kwenye tundu la sindano. Kinyume na hapo mvua nyingi itawaangukia vichwani mwao na inawezekana ikawa life sentence.
uku
 
Acha kucheza na dude linaitwa serikali

rejea chanzo​

Watetezitv

Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
May be an image of 6 people
Hawa wanajeshi ndio watakao mkaanga Mbowe,kwani walivunga kulikosea jeshi ili wafukuzwe kisha wakaungana na Mbowe ili kumchota akili na mpango mzima , Mbowe akajaa
 
picha imeungua kivipi kwa hao watu kusema ukweli, watu hufukuzwa kazi kwa sababu mbali mbali, watu wengi wanafahamia, kile tunasubiri ni ushahidi toka kwa dpp ya kuwa walitenda kile wanasitakiwa nacho PERIOD, mengine porojo tu

Sioni una uwezo wa kuelwa point ya jamaa. Unaona ni sawa IGP kusimama mahakamani? Unawajua hao mashahidi wengine waliofichwa ni akina nani?? Huwezi hata kudhania kuwa hawa makomandoo waliona na jeshi kuwa bi hatari uraiani na kutaka wadhibitiwe, unataka tuanze kusgughulika na walifanya makosa gani mpaka kuondoahwa kazini??

Layman atataka hivo - ushahidi wa DPP. Utashangaa kwa utakachosikia. Porojo kuliko ulivotarajia. Na inaonekana utakuwa upande wa simanzi!! IGP kuwa cross examined?? Hahahahha!!
 
Kuingiza JWTZ kwenye accusations za ugaidi ni kulipa sifa mbaya jeshi letu.

Watu wametumikia jeshi kwa uadilifu mpaka kustaafu halafu mnawauzia msala wa Ugaidi, That is pathetic!
 
Kuingiza JWTZ kwenye accusations za ugaidi ni kulipa sifa mbaya jeshi letu.

Watu wametumikia jeshi kwa uadilifu mpaka kustaafu halafu mnawauzia msala wa Ugaidi, That is pathetic!
Umeshasema wamefukuzwa jeshini, sasa kama wameamua kufanya uhalifu baada ya kufukuzwa jeshi linahusikaje?
 
Komando aliyefukuzwa jeshi halafu anatuhumiwa kwa ugaidi...hii kesi kama sio mambo yao ya kisiasa ilipaswa iwe kubwa!!
 
Hawa wanajeshi ndio watakao mkaanga Mbowe,kwani walivunga kulikosea jeshi ili wafukuzwe kisha wakaungana na Mbowe ili kumchota akili na mpango mzima , Mbowe akajaa
Yaonekana we ndio tegemeo lao. Haya twangoja kuja kukusikia ulichobumba badala majigambo kama ya watoto wanaojifunza kuongea
 
Mbona nilikuepo mahakamani na awajasema hivyo , acha kuokoteza habari. Leo niliamkia sinza pale school of law nashangaa unapo- post uongo mtu mzima kama wewe.
Mkuu Pale Ni Law School, Kuna Tofauti Kati Ya School of Law Na Law School
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Kama kuna qanaogurahia kigo Cha magufuli ni watendaji na viongozi wa serikali kwa kauli zao mbalimbali.
Sabaya amefukuzwa na mheshimiwa Rais akaameisha achunguzwe.wengine waliahiriki kutoa ushahidi dhidi yake ni wanaccm mmoja ni diwani wa kijani.
Huo mnyukano wenu wa kugombania madaraka msipake kinyesi wasihusika.
 
Back
Top Bottom