Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

Hii kesi ni ushahidi kuwa nchi iko damaged beyond repair. Fikiria IGP na Rais mwenyewe walienda kwenye media kuwaaminisha watu wana ushahidi. Hata akili za kuelewa kwa nini mabalozi wanahudhuria kesi hawana
Aisee wanapenda snaa Sifa.

Mama walimwingiza chaka wale kupe aliosema Furaha Dominic juzi juzi hapa.
 
Hii kesi ifutwe. Lt. Dennis Urio ameonyesha wazi kabisa naye ni shahidi wa Mchongo
 
Kusema kweli jeshi letu ni la kufumua na kulianzisha upya, walimwaminisha 'chifu' ushahidi ni mkubwa na 'chifu' akaiaminisha dunia dunia kitu ambacho sio kweli! aibu tupu
 
Tulidhania Polisi wetu ndio mchongo, kumbe hadi jeshi? Tumekwisha !
 
Kusema kweli jeshi letu ni la kufumua na kulianzisha upya, walimwaminisha 'chifu' ushahidi ni mkubwa na 'chifu' akaiaminisha dunia dunia kitu ambacho sio kweli! aibu tupu
Mama alipige chini wanaweza kumwingiza chaka mama ipo siku wataingiza nchi nzima chaka.
 
Wanazidi kujianika jinsi kesi yao ilivyo ya mchongo
 
Back
Top Bottom