Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

Ndiyo chanzo cha kuhitilafiana na makamo wake, wakitaka kupasha misuli jamaa anasikiliza michongo kupitia Pegasus na ndipo wivu ukamjaa akamfukuza Tiss moja hapo ikulu ambae alikuwa anamega tunda kimasihara
Eeh?
 
Hii kesi ni ushahidi kuwa nchi iko damaged beyond repair. Fikiria IGP na Rais mwenyewe walienda kwenye media kuwaaminisha watu wana ushahidi. Hata akili za kuelewa kwa nini mabalozi wanahudhuria kesi hawana
Aisee wanapenda snaa Sifa.

Mama walimwingiza chaka wale kupe aliosema Furaha Dominic juzi juzi hapa.
 
Hii kesi ifutwe. Lt. Dennis Urio ameonyesha wazi kabisa naye ni shahidi wa Mchongo
 
Kusema kweli jeshi letu ni la kufumua na kulianzisha upya, walimwaminisha 'chifu' ushahidi ni mkubwa na 'chifu' akaiaminisha dunia dunia kitu ambacho sio kweli! aibu tupu
 
Tulidhania Polisi wetu ndio mchongo, kumbe hadi jeshi? Tumekwisha !
 
Kusema kweli jeshi letu ni la kufumua na kulianzisha upya, walimwaminisha 'chifu' ushahidi ni mkubwa na 'chifu' akaiaminisha dunia dunia kitu ambacho sio kweli! aibu tupu
Mama alipige chini wanaweza kumwingiza chaka mama ipo siku wataingiza nchi nzima chaka.
 
Wanazidi kujianika jinsi kesi yao ilivyo ya mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…