Ulivyo mbumbu sasa humbuki wale wenzake walikamatwa lini na yeye alikuwa wapi? Nakukumbusha walikamatwa mwezi AUGUST 2020.Uchaguzi ulikuwa october 2020.Mbowe alikuwa mgombea ubunge jimbo la hai na alishiriki kampeni mwanzo mpaka mwisho kama ni kosa la ugaidi kwanini hakukamatwa kipi hicho.Acha umalaya wa kisiasaWakati akiendelea naharakati za katiba mwanza alikuwa na kesi mahakamani,na wenzake walikuwa wameshakamatwa kitambo,aliyebakia alikuwa ni yeye pekee,na hakuwa amekamatwa kwa sababu alikuwa Dubai,hivyo alivyokuja tu akajificha haraka katika mwavuli wa katiba mpya.ili ndio iwe kiongozi.( The man are so intelligent)