Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

Asante sana mkuu.
Kuna watoto wa hapo lumumba KISA wao matumbo yao yanategemea ccm wqnalinganisha case ya mbowe na ya yule jambazi kule Arusha. Kwamba rti watu wasifuatilie case ya sabaya kwa sababu mbowe atafungwa.
 
Mazuzu hayatafakari ndio maana yanaitwa Mazuzu, taifa hili lina wapumbafu wa kutupwa balaa
 
Kwa sasa hawataona madhara ila akifungwa tu,, madhara yataonekana,, time will come,,
The freedom is coming soon
 
Wacha haki itendeke bwege wewe. Wacha kutisha watu. Hakuna malaika ktk watuhumiwa hao. Yote yanawezekana so don't blackmail the justice
Leo nilikuwa sijapanga kutukana lakini kenge wewe unanilazimisha
 
Kufungwa kwa kulazimisha ndiyo kukoje?

Ninachojua Dunia haiwezi kusimama.

 
Huu ni ubabe wa serikali iliyo madarakani.Ukiwa chama pinzani, especially Cdm ni lazima utakuwa mhanga wa manyanyaso.
 
Umejenga hoja ya kweli na yenye kufikirisha Sana.Namna Bora ya chama tawala chochote kujiimarisha madarakani,ni kukubali ustawi wa upinzani ili kujua mapungufu na kuyafanyia kazi. kwa kufanya hivyo,maendeleo ya watu yatakuwa bayana na watu wataendelea kukipenda chama kwa kuwa kinafaida kwao.
Siasa za ubabe zinajenga uhasama na chuki Kwa chama tawala Kwa sababu chama badala ya kushughulika na ustawi wa watu,kitahangaika kudhofisha vyama vya upinzani.


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Haya Mambo kayaasisi mwendazake maana ilikuwa tabia yake ya uonevu kwa wapinzani,hivo Ni lazima Mbowe ataumia tu.
 
Mbowe akifungwa atakwenda jela na maisha yatasonga kama kawaida ila tatizo litakuwa ukata kwa chadema maana cheque zote na akaunti za chama signatory ni mbowe.
 
Kwani sisi tuna shida ya kwenda ulaya na huko marekani kwao?
Tatizo tunaendekeza OMBA OMBA wakati tukiwaachia wanatuibia kuliko wanachotupatia. Acha kuishi kimaskini....JPM alipiga 5 bila kwenda huko na pesa zilikuwepo.
Tangu mbowe amekatwa umesikia moto shuleni au sokoni?
 
Waliokuwa wanazuia wazungu ni machinga tu. Kwa sasa hawapo
 
Wameshaonywa na uhuni wao wa kuchezea amani ya nchi. Wahenga walisema mdharau mwiba mguu huota tende. OLE WAO!!!
Your browser is not able to display this video.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…