Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,672
Reaction score
1,814
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua.

Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gape ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

Kuwa ukuwa unaishi kwenye nyumba ya vioo kamwe usipende kushiriki vita ya kurushiana mawe.
 
1. Jeshi la polisi liko huru mno kujifanyia wapendavyo bila kuwa monitored na chombo chochote huru; mwananchi huna mahali pa kulalamika dhidi ya polisi.

2. Kuna umuhimu wa kuwa na chombo huru kitakacho-oversee utendaji wa polisi na kuhakikisha haki za wananchi zinalindwa.

3. Jeshi la polisi linatumika vibaya kisiasa; Katiba, sheria, taratibu, zinaweza zisifuatwe kwa matakwa ya wanasiasa.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Nilijua JWTZ ni kubwa la mapolisi kumbe sijui tena...
 
Nimegundua kuwa polisi siyo watu wazuri kwa raia.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Duu! Jinsi "terminology" za kisheria zinavyotumika mahakamani kama vile "functus officio & estoppel of records"

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
~ Wauaji wa wananchi wasio na hatia ni polisi wenyewe.
~ Wanaokwenda jera sio wote wanahatia.
~ Polisi officers na wenye vyeo vya chini wengi ni vilaza
Point yako ya mwisho haiakisi uhalisia. Nakuhakikishia vilaza wengi ndani ya Polisi ni wenye vyeo vikubwa kama Kingai. Wengi wao wanasoma vyuo Elimu ya kuungaunga kwa vile ndani ya polisi ukiwa na digrii hata ya kukata miwa unapewa nyota bila kujali taaluma uliyosoma ina uhusiano gani kazi za polisi.
 
Haukakisi vipi mkuu wakati kwenye ajira zao wanahitaji form four leavers with division IV kuanziap points ya 28?! Na kuhusu degree holder umeniunga mkono meaning tunakubaliana kuwa they are all functionally illiterate.
 
Back
Top Bottom