Kuwa ukuwa unaishi kwenye nyumba ya vioo kamwe usipende kushiriki vita ya kurushiana mawe.Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!
1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Nilijua JWTZ ni kubwa la mapolisi kumbe sijui tena...Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!
1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Hasa ule ugaidi uliofanyiwa kwenye kijambio?Nimejifunza ugaidi ni jambo baya
MankaHasa ule ugaidi uliofanyiwa kwenye kijambio?
Vipi umeshazoea?
Duu! Jinsi "terminology" za kisheria zinavyotumika mahakamani kama vile "functus officio & estoppel of records"Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!
1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Point yako ya mwisho haiakisi uhalisia. Nakuhakikishia vilaza wengi ndani ya Polisi ni wenye vyeo vikubwa kama Kingai. Wengi wao wanasoma vyuo Elimu ya kuungaunga kwa vile ndani ya polisi ukiwa na digrii hata ya kukata miwa unapewa nyota bila kujali taaluma uliyosoma ina uhusiano gani kazi za polisi.~ Wauaji wa wananchi wasio na hatia ni polisi wenyewe.
~ Wanaokwenda jera sio wote wanahatia.
~ Polisi officers na wenye vyeo vya chini wengi ni vilaza
Manka ni mtoto wa kike...Manka
Haukakisi vipi mkuu wakati kwenye ajira zao wanahitaji form four leavers with division IV kuanziap points ya 28?! Na kuhusu degree holder umeniunga mkono meaning tunakubaliana kuwa they are all functionally illiterate.Point yako ya mwisho haiakisi uhalisia. Nakuhakikishia vilaza wengi ndani ya Polisi ni wenye vyeo vikubwa kama Kingai. Wengi wao wanasoma vyuo Elimu ya kuungaunga kwa vile ndani ya polisi ukiwa na digrii hata ya kukata miwa unapewa nyota bila kujali taaluma uliyosoma ina uhusiano gani kazi za polisi.