Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa CPL. Abdallah ni Upi?

Umeandika nini tena
 
... connect maelezo yako na title ya ripoti yake; "CONSIPARANCY to commit TERROLIST". Kwamba ameletewa achunguze tu "bila kujua hiyo bastola imetumika kufanya nini"! Unachekesha wewe!
 
Yote tisa, funga kazi ni heading,... TO COMMIT TERRORIST. Hivi ni lazima kuandika kingereza?
 
... nchi hii kuna majitu majinga sana yaliyokalia ofisi za umma Mkuu! Halafu huyo kilaza (niliyem-quote) kaandika maelezo mareefu utadhani kuna "something material" kumbe upumbavu mtupu!

Hao ndiyo wanayojinasibu kwenye kutuendeshea nchi wakiwa na ujasiri wa kuingilia hata sekta binafsi.

Angalia ATCL, TTCL, TRC, Tanesco, TPA, Tanroads, nk. Wapi kuna nafuu?

Ni bungeni, mahakamani, polisi, wizarani au wapi penye unafuu?

Wana nini cha kumwambia nani hawa kuhusu haki, usawa, ustawi, morals, etc, let alone ideas?
 
Hukumwelewa Simbamwenyewe. Alisema f4f wanao ajiriwa watakuwa na kazi ya kukamata tu, na hawatapanda vyeo. Naamini hawa ni maalum kuwa idara ya ffu ufuatiliaji wa mifugo ilio ibiwa.
 
Ushahidi wa Cpl Abdalla ni muhimu kuonesha msh #2 alikutwa na silaha ili mzima inayoweza kuua ili kuishawishi Mahakama iamini watuhumiwa walijiandaa kufanya uhalifu.
Lakini katika kesi nzito kama hii Cpl Abdalla anatakiwa kupewa nafasi ndogo Sana siyo kumfanya SHAHIDI tegemeo.
Kwa kujiona SHAHIDI wa kutegemewa Sana Cpl Abdalla kaamua kutumia nafasi hiyo kuonesha ujuzi wa kucheza na lugha kumbe ndo anaharibu kabisa. Pili kitendo cha Cpl Abdalla kuharibu vielelezo Kwa lengo la kuviboresha kunaleta uharibifu wa lengo la kuitwa kwake. Umekamatwa na biskuti za wizi boksi 3, zinapelekwa Mamlaka ya chakula na dawa kuthibitisha. Wao wanakula boksi 2 halafu mahakamani wanaleta boksi tupu 2 na moja yenye biskuti kama vielelezo wakati Hati ya mashtaka inasema kitu kingine? Kama ingekuwa ni kielelezo kinachoharibika kama Nyanya sawa, lakini unaharibu risasi halafu unataka ziendelee kuwa vielelezo? Angesema huko maabara Yao kuna mitambo ya kupima risasi na bunduki Nani angembishia? Any way haya yote wa kulaumu ni Kingai aliyemdanganya Sirro kwamba ameshaandaa ushahidi feki wa kutosha Mbowe hachomoki, na yeye akatoka hadharani kututambia akisema tunadhani "Mbowe ni mungu" japo hatujawahi kusema hivyo tunajua ni binadamu anaweza kufanya uhalifu lakini si huu wa kutunga. Hii aibu imfikie Sirro kokote aliko na kupekea kumlisha MAMA Matangopori eti kuna wenzake na Mbowe walishafungwa Kwa kesi hiyo hiyo.
 
Hukumwelewa Simbamwenyewe. Alisema f4f wanao ajiriwa watakuwa na kazi ya kukamata tu, na hawatapanda vyeo. Naamini hawa ni maalum kuwa idara ya ffu ufuatiliaji wa mifugo ilio ibiwa.

Si kuwa hao ndiyo watakuwa wale mifugo wenyewe sasa 😁😁?
 
Mkuu. Rejea majibu ya waziri Simba sifa za kuajiri Kada hii , nmetembelea vituo vingi..sentensi nyingi hua znakua na Makosa mengi. Kule vyeo ni jinsi ulivokatili ndy hupanda. Kusoma sio kipaimbele chao!!
 
... connect maelezo yako na title ya ripoti yake; "CONSIPARANCY to commit TERROLIST". Kwamba ameletewa achunguze tu "bila kujua hiyo bastola imetumika kufanya nini"! Unachekesha wewe!
Mahakimu na majaji wanatakiwa wawe ni wazoefu wa utani na mizaha, vinginevyo kila mara wangekuwa ni wa kuangua vicheko mahakamani.
 

Hadi hapa si bunduki wala risasi alizopewa Cpl. Abdallah wala alizowasilishwa mahakamani zinaweza kufungamanishwa na mshitakiwa yeyote pasipo kuwa na kuacha shaka yoyote.
 
... connect maelezo yako na title ya ripoti yake; "CONSIPARANCY to commit TERROLIST". Kwamba ameletewa achunguze tu "bila kujua hiyo bastola imetumika kufanya nini"! Unachekesha wewe!

Kwa title hii ya ripoti, pamoja na hayo Kingai anaita 'curable mistakes'…. inaonesha wazi mchunguzi wa silaha alikuwa tayari anajua kuhusu UGAIDI.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…