- Thread starter
- #61
Dots zipo. Bado hujaambiwa hizo silaha ni nani alikuwa akiwapa hao makomando wa kikosi cha vip protection squard. Nani hasa mmiliki wa hizo silaha za Luger 9mm pistols aliyesajiliwa na kadhalika. Hivyo vuta subira uhondo utajulikana taratibu.
Mmiliki wa hiyo bunduki? Tumeelezwa haikuwahi kusajiliwa nchini. Hivyo mwenye nayo hamna.
Angekuwapo mwenye nayo angekuwa mshitakiwa kwenye hii kesi.
Hivyo ni wazi dhana ya kuwapa commando silaha haipo.