- Thread starter
- #21
Sasa mawakili wachache wasiozidi 20 wafanye nini au wangefanya nini kuhakikisha dayari inakuwa salama?
Hawa mawakili wakati mwingine wanatwishwa mzigo mzito kana kwamba wao ndio wanapaswa kuwa wakombozi wa nchi hii.
Tuelewane mkuu.
Hatuna lawama zozote kwa Mawakili wetu. Aya ya kwanza kabisa kwenye uzi ambatanishwa huu iko wazi:
Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi
Hata hivyo kama wadau kubadilishana mawazo ni mambo ya afya tu.
Ninakazia:
1. Hatuwezi kuwa na utu kwao kama wao hawana kwetu.
2. Hatuwezi kuwaamini wao kwa maana wamedhihirisha kuwa hawaaminiki.
Au nasema uongo ndugu zangu?