Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.

Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote?

Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote?

Kwanini diary haikukaguliwa jana hiyo hiyo au hata kuchukuliwa snapshots zozote?

Usalama wa diary hii uko vipi mikononi mwa store ya mahakama iliyotoa detention register mapema kinyume cha utaratibu majuzi tu?

Nani anaamimika wapi kwenye kesi hii?

Hakujakabidhiwa fisi hapa, kutulindia bucha?
-----------

Msingi wa hoja:

Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi
Wallah acha tu kazi iendeleee pengine tunakaribia kufika
 
diary ilikaguliwa kwa idadi ya pages that day, na leo wamezisoma pages husika, kati yake kumekutwa pages 3 zina Maswali na majibu kuhusu kesi hii.
Ni wazi mawakili wa serikali wamemuandikia maswali na majibu shahidi ndiyomaana wanakua wakali Mtobsya anapojaribu kutaka kuingia in datail mbele ya mahakama.

Pamoja na yote kuegemea wazi wazi kwa majaji upande wa mashtaka haupaswi kunyamaziwa.

Jaji Tiganga aombwe kuitema hii kesi.
 
Wallah acha tu kazi iendeleee pengine tunakaribia kufika

Majaji ni upande wa mashtaka. Majaji wote 3 waliokwisha pita hapa ni wateuliwa wa mwendazake.

Waendelee kuombwa kuachia kesi kila wanapoboronga kama hivi. Pengine akatokea aliye fair.
 
Pamoja na yote kuegemea wazi wazi kwa majaji upande wa mashtaka haupaswi kunyamaziwa.

Jaji Tiganga aombwe kuitema hii kesi.
Na jaji alishasoma desa lote kwenye diary ndiyo maana aliwaagiza mawakili wakaipitie chamber kuepusha aibu kwa jamuhuri na maamuzi ya kipuuzi akayafanyia huko chamber.
 
Back
Top Bottom