Sasa mawakili wachache wasiozidi 20 wafanye nini au wangefanya nini kuhakikisha dayari inakuwa salama?
Hawa mawakili wakati mwingine wanatwishwa mzigo mzito kana kwamba wao ndio wanapaswa kuwa wakombozi wa nchi hii.
Sio rahisi hivyo.
Utaratibu wa kuikagua hiyo simu ungeweza kuhitaji watu wengine zaidi na kuchukua hata zaidi ya wiki moja jambo ambalo ingekuwa ni kupoteza muda tu. Mawakili wamekuwa strategic kutotaka hili suala kuchukua muda adimu wa kesi yao.
Hii issue mbona simple sana, hapahitajiki nguvu za winchi kumsukumua jaji afanye kazi yao, ni suala la yeye kuangalia sheria na taratibu za kutimiza majukumu yake vinasemaje amalize hii vurugu, kinyume na hapo ijulikane wazi, hawa majaji wasiojielewa ndio chanzo cha kuhatarisha amani ya taifa letu.Sasa mawakili wachache wasiozidi 20 wafanye nini au wangefanya nini kuhakikisha dayari inakuwa salama?
Hawa mawakili wakati mwingine wanatwishwa mzigo mzito kana kwamba wao ndio wanapaswa kuwa wakombozi wa nchi hii.
na wale wanaohudhuria ndio watazamaji wa movie yenyewe, na inawaburudisha kweli huwa wanacheka sana wakiwa pale ukumbini.Mahakama imegeuka ukumbi wa sinema maana jaji na mawakili wa serikali wanacheza scene moja
Hahahaha πππna wale wanaohudhuria ndio watazamaji wa movie yenyewe, na inawaburudisha kweli huwa wanacheka sana wakiwa pale ukumbini.
Nakuunga mkono 100%. Iwe polisi, iwe mahakama lazima watarudi nyuma labda wawe vichwa ngumu.Hii kesi automically inekuwa kesi ya kuangalia mapungufu ya katiba ya sasa na sheria mbalimbali kitu ambacho hakikutegmewa kabisa kwa upande wa polisi kuonekana mapungufu mengi ya kisheria, kesi hii inaenda kuleta mabadiliko makubwa katika utendaji wa Taasisi nyingi. Kesi imetoa mafunzo mengi sana katika jamii
nimeambiwa pages zote zilikaguliwa ndiyo ikakabidhiwa kwa karani.
Kesi ya nyani kapewa ngedere, kama MUNGU aliamua kumdondosha FARAO kwa mapigo 10, basi katika hili Mungu yupo, ni suala la muda tu.Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.
Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote?
Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote?
Kwanini diary haikukaguliwa jana hiyo hiyo au hata kuchukuliwa snapshots zozote?
Usalama wa diary hii uko vipi mikononi mwa store ya mahakama iliyotoa detention register mapema kinyume cha utaratibu majuzi tu?
Nani anaamimika wapi kwenye kesi hii?
Hakujakabidhiwa fisi hapa, kutulindia bucha?
-----------
Msingi wa hoja:
Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi
Hivi Kibatala aliposema 'UTU' alikuwa na maana gani?
Huu uko wa shetani Lusifer kweli wanahitaji utu?
Sikupenda kabisa kutumia neno hili kwa huu ukoo uliobeba laana!
Ishabadilishwa tayari...Eti Mbowe gaidi, wapuuzi mbwa hawaShahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.
Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote?
Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote?
Kwanini diary haikukaguliwa jana hiyo hiyo au hata kuchukuliwa snapshots zozote?
Usalama wa diary hii uko vipi mikononi mwa store ya mahakama iliyotoa detention register mapema kinyume cha utaratibu majuzi tu?
Nani anaamimika wapi kwenye kesi hii?
Hakujakabidhiwa fisi hapa, kutulindia bucha?
-----------
Msingi wa hoja:
Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi
Ila hawa jamaa ni Wapuuzi mnoMkuu unasomeka. Ila inasemekana yataka ushupavu wa kutosha kuyatamka hayo kama alivyofanya Kibatala kuweza kumtuliza na kumkamua Simba maziwa.
Kumbuka lengo ni kujenga mashaka.
Shahidi wala mawakili wake hawakukanusha kuwa ana mengine mifukoni ππ.
Hiiiiii bagosha!
Diary waliikagua baada ya jaji kutoka, wasingeweza kuondoka bila kuikagua.
BTW hawakutaka kukaza sana maana japo ni kosa kukamatwa na kibomu lkn its just a minor thing.
nimeambiwa pages zote zilikaguliwa ndiyo ikakabidhiwa kwa karani.
diary ilikaguliwa kwa idadi ya pages that day, na leo wamezisoma pages husika, kati yake kumekutwa pages 3 zina Maswali na majibu kuhusu kesi hii.Kama ulivyoona diary haikuwa imekaguliwa na kwa hakika iliyopo sasa yawezekana kabisa siyo, achilia mbali kuwa ukaguzi wake hauridhishi.