Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

Wallah acha tu kazi iendeleee pengine tunakaribia kufika
 
Pamoja na yote kuegemea wazi wazi kwa majaji upande wa mashtaka haupaswi kunyamaziwa.

Jaji Tiganga aombwe kuitema hii kesi.
 
Wallah acha tu kazi iendeleee pengine tunakaribia kufika

Majaji ni upande wa mashtaka. Majaji wote 3 waliokwisha pita hapa ni wateuliwa wa mwendazake.

Waendelee kuombwa kuachia kesi kila wanapoboronga kama hivi. Pengine akatokea aliye fair.
 
Pamoja na yote kuegemea wazi wazi kwa majaji upande wa mashtaka haupaswi kunyamaziwa.

Jaji Tiganga aombwe kuitema hii kesi.
Na jaji alishasoma desa lote kwenye diary ndiyo maana aliwaagiza mawakili wakaipitie chamber kuepusha aibu kwa jamuhuri na maamuzi ya kipuuzi akayafanyia huko chamber.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…