Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mashahidi wa mwisho walikuwa wake wa watuhumiwa, kubwa lililoonekana kwenye kesi ni polisi kuchukua pesa na vitu ambavyo havihusiani na kesi kwani havikuwasilishwa mahakamani kama ushahidi.
Maadam wake wa washitakiwa wamefahamika ingekuwa jambo jema mahakama iamuru wakina mama hao ambao nawaona kwa sasa ni kama wajane wapewe pesa zilizochukuliwa toka kwa waume zao ili ziwasaidie kimaisha.
Nawasilisha.