Asante kama umeliona hilo. Mama walimtisha kwamba Ukiacha harakati za katina utaondoka wewe. Mama ni kama yuko blackmailed.Hili likesi nalo DPP alifute tu, halina maana wala maslahi yeyote kwa Taifa kwa sasa! Kama ni mambo ya katiba mpya yanahusika basi wakae chini na bwana Mwamba waongee ni jinsi gani linaweza likashughulikiwa hilo bila kuligawa taifa or kuleta vilio na manung'uniko kwa wengine..