Asante kama umeliona hilo. Mama walimtisha kwamba Ukiacha harakati za katina utaondoka wewe. Mama ni kama yuko blackmailed.Hili likesi nalo DPP alifute tu, halina maana wala maslahi yeyote kwa Taifa kwa sasa! Kama ni mambo ya katiba mpya yanahusika basi wakae chini na bwana Mwamba waongee ni jinsi gani linaweza likashughulikiwa hilo bila kuligawa taifa or kuleta vilio na manung'uniko kwa wengine..
Amekubali kubadilika na kuachana na ushetani wake tumshukuru Mungu.Si miongoni wa mliotoa hukumu kabla ya kesi kuwa ni gaidi na hakubambikiwa pamoja na wengine,halafu unasema unaipenda Tanzania.Ipi?
Kuikubali katiba mpya ni susaidoo.DAI la Katiba mpya linaletaje vilio na manung'uniko kwa wengine? Ni kwa CCM na wachumia tumbo kama "katelephone" na "lion cha mwene"? Maana hao ndio miongoni mwa wasiotaka kabisa kusikia habari za Katiba mpya.
Kati wa watu nawakubali TZ bwana Mwamba yupo, mengine huwa ni mabishano ya kisiasa tu!! Ni kama ambavyo kuna wapinzani wanamkubali Samia moyoni ila hadharani wanaongea shitSi miongoni wa mliotoa hukumu kabla ya kesi kuwa ni gaidi na hakubambikiwa pamoja na wengine,halafu unasema unaipenda Tanzania.Ipi?
Miezi hii 6 kadhihirisha yupo strong na anaweza kuongoza nchi, kayagusa makundi yote muhimu ya nchi negatively, kelele zimepigwa sana na kaweza kusimama imara!! Kama alivyosema alikuwa anawasoma watu hii miezi 6 ya kwanza, nadhani ni wakati muafaka sasa kuimplement yale anayoamini, mojawapo ni kufuta makesi ya hovyo aliyoyarithi kutoka kwa Bwana Yule..Asante kama umeliona hilo. Mama walimtisha kwamba Ukiacha harakati za katina utaondoka wewe. Mama ni kama yuko blackmailed.
Si wanao ma-vehicle inspectorHivi karibuni kuna mama mmoja mfanyabiashara huko maeneo ya Tegeta nadhani alilalamika kuwa walichukua mgodoro yake ya biashara, alipoambiwa akayachukue alipewa magodoro chakavu yaliyotumika. Gari likiwekwa yadi yao litatoka na magurudumu chakavu na betri iliyochoka.
Waizi, wanyang'anyi, wanakamata mtu ana kiasi cha pesa anawakabidhi akiingia lockup akitoka pesa haipo labda mkanda na suruali. Bado namlilia Hamza🥲🥲🥲elvischirwa
Polisi wetu linapokuja swala la pesa am sorry to say wanakuwa hawana tofauti na upigaji mwingine
Hawezi kesha onja asali sasa anachonga mzinga, dini ikae pembeni kwanza.Miezi hii 6 kadhihirisha yupo strong na anaweza kuongoza nchi, kayagusa makundi yote muhimu ya nchi negatively, kelele zimepigwa sana na kaweza kusimama imara!! Kama alivyosema alikuwa anawasoma watu hii miezi 6 ya kwanza, nadhani ni wakati muafaka sasa kuimplement yale anayoamini, mojawapo ni kufuta makesi ya hovyo aliyoyarithi kutoka kwa Bwana Yule..
Asali ipi mkuu? Kwenye utawala wake hamna kesi yeyote mpya ya uonevu aliyoianzisha yeye kama yeye, na mambo yanaenda poa tu!! Hayo makesi mengi yanayoendelea sasa siyo yake, ni wakati muafaka sasa wa kuifuta na hii kesi inayoleta kelele nyingi nchini!! Mbowe kaanza harakati za kisiasa 1990's mwanzoni kabisa, kipindi hicho chote hajafanya ugaidi, aje afanye 2020?? Ni kesi ya hovyo na ifutweHawezi kesha onja asali sasa anachonga mzinga, dini ikae pembeni kwanza.
Hivi hua unazisikia kwa undani kauli za Sirro, anakauli za kujikweza zenye ubabe na upotoshaji, wale vijana 500 wa Moshi ni kelele za raia wema ziliwanusuru vinginevyo walitaka wawaunganishe na ugaidi walipodai wanapewa mafunzo yasiyojulikana! Kwanini Moshi, kwa sababu kesi ya Mbowe ilianzia huko.Asali ipi mkuu? Kwenye utawala wake hamna kesi yeyote mpya ya uonevu aliyoianzisha yeye kama yeye, na mambo yanaenda poa tu!! Hayo makesi mengi yanayoendelea sasa siyo yake, ni wakati muafaka sasa wa kuifuta na hii kesi inayoleta kelele nyingi nchini!! Mbowe kaanza harakati za kisiasa 1990's mwanzoni kabisa, kipindi hicho chote hajafanya ugaidi, aje afanye 2020?? Ni kesi ya hovyo na ifutwe
Hahaha, ni kweli Sirro sometimes ana kauli tata sanaHivi hua unazisikia kwa undani kauli za Sirro, anakauli za kujikweza zenye ubabe na upotoshaji, wale vijana 500 wa Moshi ni kelele za raia wema ziliwanusuru vinginevyo walitaka wawaunganishe na ugaidi walipodai wanapewa mafunzo yasiyojulikana! Kwanini Moshi, kwa sababu kesi ya Mbowe ilianzia huko.
Anazungumzia baada ya hukumu ambapo upande mmoja unaweza ukapata ushindi kwa hisani ya jaji.Taifa halijajigawa
Kingai aneuchuna tu utafikiri hakukwapua pesa za makomandoo
Wanapenda mserereko wale jamaa hakuna mfano.elvischirwa
Polisi wetu linapokuja swala la pesa am sorry to say wanakuwa hawana tofauti na upigaji mwingine
Kumbe naye anamlinzi binafsi! Askari analindwa na askari! Nilidhani askari anatakiwa amlinde raia. Sasa ukipeleka askari kumi kwenye uwanja wa mapambano itabidi upeleke na askari kumi wa kuwalinda!
Kingai huyo hapo; sura kama PaKa
Hapa ndo polisi wataelewa uzuri na ubaya wa kufanya kazi kwa kufuata ama kutofuata sheria...Itabidi ifunguliwe kesi nyingine kwa ajili hiyo, mahakama haiwezi kukupa ambacho hukuiomba.