Kesi ya Mbowe: Wake wapewe pesa na mali za waume zao

wafuasi wa Mbowe acheni kuwakashifu na kujenga chuki na askari wetu.
bila askari msinge kuwa mnalala na kuamka salama, mnatembea kutafuta riziki kwa uhuru bila bughudhiwa ni kwa sababu ya askari wetu.
Heshimuni askari wetu, acheni kuwakejeli na kuwadhihaki.
 
Hiyo kwa kinyakyusa tunaita ' day light robbery' wizi wa mchana kweupe pee! pee!
 
Kingai anakwapua fedha halafu anazuga kulipia bill za nyama choma na Mo energy!
 
wafuasi wa Mbowe acheni kuwakashifu na kujenga chuki na askari wetu.
bila askari msinge kuwa mnalala na kuamka salama, mnatembea kutafuta riziki kwa uhuru bila bughudhiwa ni kwa sababu ya askari wetu.
Heshimuni askari wetu.
We jinga kweli,yaani polisi wanaiba mali za raia unataka tukae kimya?
Upumbavu na uchama unakupofusha.
Mpaka siku yamkute mamaako ndiyo utajua kutetea haki.
 
Wafungue kesi kingai na mahita kudai waonyeshwe ndugu zao walipo.
 
We jinga kweli,yaani polisi wanaiba mali za raia unataka tukae kimya?
Upumbavu na uchama unakupofusha.
Mpaka siku yamkute mamaako ndiyo utajua kutetea haki.
Hawa watu walikwapua nyama Buguruni na ushahidi wakaficha ngumu sana kuwaamini
 
Miss Rayol Tour akisikia mambo ya katiba mpya anakimbilia kwenye agenda ya kuonewa kwa wanawake katika uongozi.
 
Nina hakika kuwa mbowe hajawi kuwatafuta wake za hao makomando wake ili kuwatunza chochote kitu ..alikuwa busy na makongamano huku familia ikiadhirika vibaya ktk kipindi chote..
Kwani Wewe uliwatafuta?!
 
Maeneo mengi hayajawahi kumuona askari, na wakimuona mtaa mzima hutoka kumuangalia nani huyo kapotea njia, wanajilinda wenyewe hata hao askari wakipigiwa simu hawaji ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…