Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

Binafsi wananikera sana, badala ya kuangalia na kuhangaika na chanzo (katiba na tume) wanahangaika na consequences za katiba na tume. Nani ameuroga upinzani wetu. Hata akina Mdee wakitoka, so what!!! Yaani mnawafukuza wanawake wwnu 19 bungeni na kuwaacha 400 ambao pia hamna uhakika walichaguliwaje wakifanya maamuzi kwaajili yenu wote. Mimi kwangu sioni kinachotafutwa hapa. Ndio maana nasema ni chuki iliyojisokotea kwenye ubinafsi.
Chadema wanataka muda wote wawepo kwenye vyombo vya habari na midomoni mwa watu hvy wanaenda na fursa
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa mbovu kuliko chaguzi zote nilizowahi kushuhudia, yule jamaa alaaniwe Sana kwa kuua Uhuru na demokrasia hapa nchini kwani ndiye chanzo Cha haya

Japo Ccm km chama inapaswa kumshukuru Sana magu kwani aliisaidia Sana kuimarisha kwa kuua upinzani japo kimabavu Ila alifanikiwa
Chadema wanapaswa kujua kuwa kipindi Cha awamu ya Tano kulikuwa na mambo mengi sana. Ni kipindi Cha kusameheana kwa watanzania wote kwakweli, maana hakukuwa na formula ya aina yoyote iliyokuwa ikifanya kazi. Inasikitisha kuona wanachadema wenyewe hawataki reconsolidation ndani ya Chama ila wanataka reconsolidation kwenye taifa. Ujinga mtupu
 
CHADEMA wakubali tu walishindwa uchaguzi 2020 wala wasione aibu CCM wenzao walijipanga na sera nzuri kwa wananchi lakini Tundu alishindwa kushawishi watu matokeo yake akaponza chama chake chote sasa waache usanii wa maridhiano ili wapewe nafasi za kuteuliwa(njaa inawatafuna huku mtaani) kisa walishindwa kuwashawisha wapiga kura saizi wanawasumbua walioshinda uchaguzi huo sio ustaarabu kwa kweli mbona 2025 sio mbali wavumilie tu tushinde nao vijiweni[emoji23][emoji23].Siasa sio ajira ya kudumu watu wakikuchoka kama yule ya Mbeya na Arusha unakaa benchi kwani wewe ni nani bwana.
 
VICHAA tupo wengi humu Jf Kwa hiyo Chadema iruhusu UHUNI na Ujinga uendelee Kufanywa na Wanachama wake Ikae kimya Eti inajenga Chama basi Chadema itakuwa Chama cha Wahuni. Acha UTOTO
Hakika vichaa mpo wengi humu
 
Halima Mdee na wenzake hawakuapishwa mbele ya Siwa

Hivyo wale Siyo wabunge hata kama Chadema isingewafukuza
Una uhakika wabunge wote walichaguliwa kihalali na wananchi? Kinachotakiwa sio kunyoosheana vidole, bali tuhangaike na chanzo (mzizi) Cha tatizo la uchaguzi.
 
CHADEMA wakubali tu walishindwa uchaguzi 2020 wala wasione aibu CCM wenzao walijipanga na sera nzuri kwa wananchi lakini Tundu alishindwa kushawishi watu matokeo yake akaponza chama chake chote sasa waache usanii wa maridhiano ili wapewe nafasi za kuteuliwa(njaa inawatafuna huku mtaani) kisa walishindwa kuwashawisha wapiga kura saizi wanawasumbua walioshinda uchaguzi huo sio ustaarabu kwa kweli mbona 2025 sio mbali wavumilie tu tushinde nao vijiweni[emoji23][emoji23].Siasa sio ajira ya kudumu watu wakikuchoka kama yule ya Mbeya na Arusha unakaa benchi kwani wewe ni nani bwana.
Nijuavyo Mimi kama mbowe, lema, sugu na msigwa TU wangeshinda majimboni kwao, hali Leo ingekuwa tofauti kabisa na hii.
 
Una uhakika wabunge wote walichaguliwa kihalali na wananchi? Kinachotakiwa sio kunyoosheana vidole, bali tuhangaike na chanzo (mzizi) Cha tatizo la uchaguzi.
Wabunge wote walichaguliwa kihalali kasoro mmoja tu kule Zanzibar na alishajiuzulu
 
Kumbe wamefukuzwa Chadema?!!

Ahsante kwa ufafanuzi
Wakati sisi mbulula tunatafuta mabadiliko ya kupokezana kwenda Ikulu wenzetu wanatafuta maisha kupitia vyama vya upinzani. Akina sugu Wana mahoteli, akina Lema hawataki kurudi tz tena maana huko waliko maisha ni safi, elimu kwa watoto ni safi na matibabu ni safi. Lisu hivyohivyo hapendi kurudi kwenye vumbi tena kwa visingizio viiiingiiii, eti ahakikishiwe ulinzi yeye binafsi kama raia.
 
Kama walichaguliwa kihalali Kwanini chadema waligomea matokeo?
Waligomea matokeo gani wakati mbunge wao wa Nkasi yuko Bungeni?

Kugomea jambo lolote lazima kuwe na utaratibu wa kisheria

Chadema halijawahi kugomea matokeo ila Wabunge wao mmoja mmoja huko majimboni wamewahi kugomea matokeo kea kuzingatia taratibu za kisheria ikiwemo kwenda mahakamani
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Wa kupimwa akili wewe. Wakati CCM na CUF wanawafukuza wanachama wao wanaume na ku8shi kuukosa ubunge mliona sawa..!!! Kwa hiyo hapa kinachokusumbua ni uanamke wao!?
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Leo umetumia mihadarata gani? Halafu jomba wewe mwanachama wa Cdm kweli? Kadi yako namba gani?
Halafu mbona inajichanganya mwenyewe? Cdm haikuyatambua matokeo ya uchafuzi ule, sasa Mdee na genge lake ilikuwaje wakajikuta wako Bungeni ili hali jimboni kwake "aliangushwa" na Gwaji boy? Huoni kwamba unajifanya mjinga hapo?
 
Wametangaza hadharani kuwa wamewafukuza, kwao wanapaswa kuishia hapo. Maana bunge hili la Sasa liketokana na uchaguzi ambao chadema hawautambui na matokeo yake. Sasa shida Yao nini kutaka lazima akina Mdee watoke kwenye bunge wasilolitambua?

Kama chadema wangeyakubali matokeo tangu mwanzo shauri kama hili lisingekuwepo kama lilivyo Sasa. Wake kimya TU kwakweli. Mimi nilidhani wanakwenda mahakamani kusimamisha bunge Zima kuwa halikupatikana kihalali, kumbe ni akina Mdee TU.
Sasa hapo juu unasema Cdm hawakulitambua Bunge hilo sasa ni jibu swali hili rahisi: hao 19 waliingiaje Bungeni?
Na kesi ya hao 19 ndipo itakapoanguka chali hapo hapo.
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Wewe hiyo mimba ya CHADEMA itoe itakuua.....
 
ccm na wafuas wao ni wajinga sana ndio maana huku kanda ya ziwa kura mtazisikia tu subirin na huo uzezeta wenu
 
Karibu kufikiria deeply, usiwaze juu juu, Wale wanadai wamepelekwa huko na Chadema. Hilo ndilo Chadema wanataka litoke. Leo hii Tulia akisema Hawa wako hapa kwa kupitia Chauma, Chadema haitahangaika nao. Wakishagukuzwa bungeni, then whatever be it Samia aweleye Tena kwa njia ya CCM , Nani atahangaika nao!
 
Back
Top Bottom