Chadema wanataka muda wote wawepo kwenye vyombo vya habari na midomoni mwa watu hvy wanaenda na fursaBinafsi wananikera sana, badala ya kuangalia na kuhangaika na chanzo (katiba na tume) wanahangaika na consequences za katiba na tume. Nani ameuroga upinzani wetu. Hata akina Mdee wakitoka, so what!!! Yaani mnawafukuza wanawake wwnu 19 bungeni na kuwaacha 400 ambao pia hamna uhakika walichaguliwaje wakifanya maamuzi kwaajili yenu wote. Mimi kwangu sioni kinachotafutwa hapa. Ndio maana nasema ni chuki iliyojisokotea kwenye ubinafsi.
Chadema wanapaswa kujua kuwa kipindi Cha awamu ya Tano kulikuwa na mambo mengi sana. Ni kipindi Cha kusameheana kwa watanzania wote kwakweli, maana hakukuwa na formula ya aina yoyote iliyokuwa ikifanya kazi. Inasikitisha kuona wanachadema wenyewe hawataki reconsolidation ndani ya Chama ila wanataka reconsolidation kwenye taifa. Ujinga mtupuUchaguzi wa 2020 ulikuwa mbovu kuliko chaguzi zote nilizowahi kushuhudia, yule jamaa alaaniwe Sana kwa kuua Uhuru na demokrasia hapa nchini kwani ndiye chanzo Cha haya
Japo Ccm km chama inapaswa kumshukuru Sana magu kwani aliisaidia Sana kuimarisha kwa kuua upinzani japo kimabavu Ila alifanikiwa
Kumpata mtu mwenye akili ndani ya ccm ni kazi sanaYaani Ccm mkiitwa mbulula mna stahili.
Yaani ulianza kudanganya wewe ni Chadema baadae umejikoroga na kuonyesha jinsia yako.
Waache Chadema wafanye yao. Hamta weza kuibomoa.
Hakika vichaa mpo wengi humuVICHAA tupo wengi humu Jf Kwa hiyo Chadema iruhusu UHUNI na Ujinga uendelee Kufanywa na Wanachama wake Ikae kimya Eti inajenga Chama basi Chadema itakuwa Chama cha Wahuni. Acha UTOTO
Una uhakika wabunge wote walichaguliwa kihalali na wananchi? Kinachotakiwa sio kunyoosheana vidole, bali tuhangaike na chanzo (mzizi) Cha tatizo la uchaguzi.Halima Mdee na wenzake hawakuapishwa mbele ya Siwa
Hivyo wale Siyo wabunge hata kama Chadema isingewafukuza
wale siyo wanachama wao tene wameshawafukuzaVICHAA tupo wengi humu Jf Kwa hiyo Chadema iruhusu UHUNI na Ujinga uendelee Kufanywa na Wanachama wake Ikae kimya Eti inajenga Chama basi Chadema itakuwa Chama cha Wahuni. Acha UTOTO
Nijuavyo Mimi kama mbowe, lema, sugu na msigwa TU wangeshinda majimboni kwao, hali Leo ingekuwa tofauti kabisa na hii.CHADEMA wakubali tu walishindwa uchaguzi 2020 wala wasione aibu CCM wenzao walijipanga na sera nzuri kwa wananchi lakini Tundu alishindwa kushawishi watu matokeo yake akaponza chama chake chote sasa waache usanii wa maridhiano ili wapewe nafasi za kuteuliwa(njaa inawatafuna huku mtaani) kisa walishindwa kuwashawisha wapiga kura saizi wanawasumbua walioshinda uchaguzi huo sio ustaarabu kwa kweli mbona 2025 sio mbali wavumilie tu tushinde nao vijiweni[emoji23][emoji23].Siasa sio ajira ya kudumu watu wakikuchoka kama yule ya Mbeya na Arusha unakaa benchi kwani wewe ni nani bwana.
Wabunge wote walichaguliwa kihalali kasoro mmoja tu kule Zanzibar na alishajiuzuluUna uhakika wabunge wote walichaguliwa kihalali na wananchi? Kinachotakiwa sio kunyoosheana vidole, bali tuhangaike na chanzo (mzizi) Cha tatizo la uchaguzi.
Wakati sisi mbulula tunatafuta mabadiliko ya kupokezana kwenda Ikulu wenzetu wanatafuta maisha kupitia vyama vya upinzani. Akina sugu Wana mahoteli, akina Lema hawataki kurudi tz tena maana huko waliko maisha ni safi, elimu kwa watoto ni safi na matibabu ni safi. Lisu hivyohivyo hapendi kurudi kwenye vumbi tena kwa visingizio viiiingiiii, eti ahakikishiwe ulinzi yeye binafsi kama raia.Kumbe wamefukuzwa Chadema?!!
Ahsante kwa ufafanuzi
Waligomea matokeo gani wakati mbunge wao wa Nkasi yuko Bungeni?Kama walichaguliwa kihalali Kwanini chadema waligomea matokeo?
Achana nae.. hajui anaongelea niniAkina Halima Mdee na wenzake wanajitambulisha kama wabunge wa Chadema
Hilo ndio tatizo
Kuzaa na Changu haimaanishi Wewe kavulata ni mumewe, natoa mfano tu!
Wa kupimwa akili wewe. Wakati CCM na CUF wanawafukuza wanachama wao wanaume na ku8shi kuukosa ubunge mliona sawa..!!! Kwa hiyo hapa kinachokusumbua ni uanamke wao!?Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.
Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.
Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.
Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Leo umetumia mihadarata gani? Halafu jomba wewe mwanachama wa Cdm kweli? Kadi yako namba gani?Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.
Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.
Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.
Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Sasa hapo juu unasema Cdm hawakulitambua Bunge hilo sasa ni jibu swali hili rahisi: hao 19 waliingiaje Bungeni?Wametangaza hadharani kuwa wamewafukuza, kwao wanapaswa kuishia hapo. Maana bunge hili la Sasa liketokana na uchaguzi ambao chadema hawautambui na matokeo yake. Sasa shida Yao nini kutaka lazima akina Mdee watoke kwenye bunge wasilolitambua?
Kama chadema wangeyakubali matokeo tangu mwanzo shauri kama hili lisingekuwepo kama lilivyo Sasa. Wake kimya TU kwakweli. Mimi nilidhani wanakwenda mahakamani kusimamisha bunge Zima kuwa halikupatikana kihalali, kumbe ni akina Mdee TU.
Wewe hiyo mimba ya CHADEMA itoe itakuua.....Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.
Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.
Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.
Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
ccm na wafuas wao ni wajinga sana ndio maana huku kanda ya ziwa kura mtazisikia tu subirin na huo uzezeta wenuSisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.
Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.
Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.
Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Karibu kufikiria deeply, usiwaze juu juu, Wale wanadai wamepelekwa huko na Chadema. Hilo ndilo Chadema wanataka litoke. Leo hii Tulia akisema Hawa wako hapa kwa kupitia Chauma, Chadema haitahangaika nao. Wakishagukuzwa bungeni, then whatever be it Samia aweleye Tena kwa njia ya CCM , Nani atahangaika nao!Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.