Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

VICHAA tupo wengi humu Jf Kwa hiyo Chadema iruhusu UHUNI na Ujinga uendelee Kufanywa na Wanachama wake Ikae kimya Eti inajenga Chama basi Chadema itakuwa Chama cha Wahuni. Acha UTOTO
Hajui kitu muimba mapambio tu huyo
 
Wanawake bhana, sasa kuwashwa gani huko hadi kufuatilia I'D yangu.? Njoo nikukune bc mlango uko wazi wewe suKUMA.
Kuna Mrs Mbaga mmoja alikuwa ni askari magereza miaka ya 1980s nilirutubisha mbegu,isije ikawa wewe ni zao langu,ngojq niache kubishana na watoto humu.
 
Kuna Mrs Mbaga mmoja alikuwa ni askari magereza miaka ya 1980s nilirutubisha mbegu,isije ikawa wewe ni zao langu,ngojq niache kubishana na watoto humu.
Kuna pisi kali moja enzi za 1990s anaitwa Restuta nilikuwa nambandua, isije ikawa wewe ndiye umekuja kwa umbo la kishoga
 
Kinachobishaniwa sio uwepo wa akina Halima bungeni bali ni mamlaka iliyowateua. CHADEMA wanathibitisha kuwa hawakuwahi kuteua hao wabunge huku wao wakidai waliteuliwa na chama. Nadhani hutokuwa mjinga tena baada ya elimu hii adhimu.
 
Wewe nawe unapoteza muda wako. Kwani CHADEMA bado IPO ? Mimi nilijua ilkufa Siku mkuu wao alipotangaza kubaili gia angani. Usituletee habari za chama ambacho hakipo.
 
Rushwa ni tatizo kubwa sana.
Wale mabinti wanatoa laki Tano kila mwezi kugawa Kwa sabufa na wahuni wenzake.
Nchi hii Ina pesa nyingi sana.
Tatizo ni wahuni walijificha ndani ya CCM . Wahuni wapo tayari hata kuiuza nchi alimradi wabaki madarakani na kujilimbikizia Mali za wizi na rushwa.

Wabunge wale wamefukuzwa na Chadema haitaki kupeleka wabunge wa viti Maalumu.
Kwetu sisi tunaokatwa tozo na wanyama wetu kuuzwa Kwa Waarabu ilikua ni faida mana Pesa zetu wanazolipwa wabunge 19 zingepelekwa kule Handeni kujenga nyumba za Wamasai wanahamishwa Loliondo kupisha mipaka na nchi za Uarabuni au kujenga nyumba za Walimu na wanajeshi.

Tatizo ni nchi hii kukosa wanasiasa wenye Nia kamili ya kulinda Mali za umma . Mdee na wenzake walipaswa kushitakiwa Kwa kufoji na kujipeleka Bungeni na wakibainika kuwa walifoji basi warudishe fedha zote walizoiba hata kama itakua ni mwaka 2040.

Umoja part labda kinaweza kikawa mkombozi wa nchi hii dhidi ya mikono ya wahuni Vinginevyo wezi na wahuni hawatakoma kwani wananufaika na uhuni na wizi huo Tena Kwa kupiganiwa na viongozi wakubwa kama Spika wa Bunge na Msajili. Yani nchi inakopa halafu pesa zinachezewa kihuni huni.

Tuanze na umoja part Kanda ya Ziwa Chadema Kaskazini na Musoma ,Iringa na Mbeya na DSM.
ACT Kigoma na Zanzibar.
CUF Tanga ,Lindi na Mtwara. Rungwe na Mbatia apige kampeni . Hakika Vyama hivi vikiacha tamaa ya kuingia ikulu kinadharia bila kuungana na kuacha kuwaza pesa tu kama akina Mdee na wengine wanaonunulika Kwa fedha za mabilionea wa CCM ni dhahiri kabisa kuwa vinaweza kuingoa CCM asubuhi kabisa kwenye uchaguzi wowote hata kama ni Kwa kutumia katiba iliyopo. Mkoloni alingolewa Kwa Katiba yake na majeshi yake na kila kitu cha kwake sembuse Hawa wahuni na mafisadi wanaowaza Mali zao na roho zao.
 
Kinachobishaniwa sio uwepo wa akina Halima bungeni bali ni mamlaka iliyowateua. CHADEMA wanathibitisha kuwa hawakuwahi kuteua hao wabunge huku wao wakidai waliteuliwa na chama. Nadhani hutokuwa mjinga tena baada ya elimu hii adhimu.
Adhabu yenu kubwa kuliko zote ni kuwafukuza uanachama TU, nothing more nothing less than this. Labda kama mmeandaa oriodha yenu nyingine ya kuchukua nafasi ya akina Halima. Lakini ili oriodha hiyo ieleweke kwetu lazima kwanza mtangaze kutambua uchaguzi ule na matokeo yake
 
Kwa mujibu wa chadema 2020 hakukuwa na uchaguzi hakuna Rais Wala mbunge halali. Kwanini hawazungumzii hili? Hutaikia hela kwa kuwafukuza akina Halima, maana watapelekwa wengine kujaza nafasi zao au akili hamna?
 
Ni heri ukose Mali kuliko akili. Akina Halima wakifukuzwa bungeni hela zao zinaenda kununua madawa? Yaani unamaanisha kuwa hawatakwenda wengine kujaza nafasi zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…