Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Duuu jamani. Vicky ana roho mbaya sana
 
Asante
 
Picha linaanza anaombwa cheti cha ndoa katoa kumbe ni batili baada ya mahakama kujiridhisha. Ilikua hivi, jina la kanisa feki, pastor feki basi mahakamani ikaomba mshenga, msimamizi wa harusi jibu la Vick eti wooote kwa sasa ni marehemu.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wazee marafiku wa Dkt. Likwelile wanasema tangu enzi za uhai wa marehemu alikua anasema Vick kwangu kafata mali na si vinginevyo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Vick anapenda ulozi jamani mpaka nikimuangaliaga nabakia kusema hii ni Hatare na nusu. Full waganga kutoka kwao kanda ya ziwa ogopa mganga hajui kiswahili ni kilugha tu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.......wakati marehemu yupo hai......!!?
hakuna marehemu anayekuwa hai
 
Hongera kwa kujitenga na wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…