Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Je kama hatuja divorce lakini mke wangu akaolewa na mtu mwingine na mimi nikao mke wangu ana haki ya kudai mali zangu ambazo nimechuma baada ya yeye kuondoka?
Kuolewa na mtu mwingine hakufanyi ndoa ivunjike automatically. Ulitakiwa uende mahakamani uvunje ndoa ndio yeye aolewe na wewe uoe mke mwingine. Ndoa zenu wote ni batili kisheria unless kama ulifunga ndoa ya mke zaidi ya mmoja
 




Huyo dogo Raymond angeongeza maarifa ili amle huyo madam. Maana anaonekana kupenda vya dezo.
 
Then huyo mzee according to mwenendo wa kesi alifunga ndoa ya kiserikali na baadae akaenda kuibariki kanisani. Ndoa ya kiserikali je ina limit ya idadi ya wake?
yes cheti cha ndoa cha serikali na kanisani ni hicho hicho hamna tofauti na kuna sehemu ya kutiki ni ndoa ya mke mmoja au wake wengi. upo nyonyo maana naona umekazana kutetea kitu usichokijua.
 
Ndoa yao haikusajiliwa rita ndo maana mahakama imemkataa
 
Hana chochote nae marehemu alikua mtu mwenye cheo hazina
 
Naombeni hukumu nzima ili nijue hasa kwa nini mahakama inasema hiyo ndoa ilikuwa batili.
Nimesoma mahali wanasema alifunga ndoa wakati mke wa Likwelile akiwa hai bado... Na alikuwa hajatalikiwa.... So automatically ndoa yake inakuwa batili....
 
Thanks... Hili nilikuwa sifahamu🙏🏾
 
Hao watoto 7 aliyozaa na wanawake 7 wote wakapimwe DNA kujua kama kweli marehemu ndiye baba, akiwemo huyo mlalamikaji. Huyo wakili wa Vicky angekuja na hii hoja mapema sana na ungekuta watoto halali pengine ni watatu tu.
Mmmhhhh... Hii Sasa ingeleleta songombingo ya aina ya kipekee😂
 
Alifoji. Sasa mahakama itakupaje vitu ambavyo sio vyako. Kuandika jina sio hati miliki au uhalali kwamba vile vitu ni vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…