Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
TISS/TRA
Kila mtu hii nchi ni TISS hadi waokota makopo barabarani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS/TRA
Sheria haitambui huo usenge uliouandika wewe kunywa pombe ulewe halafu kavunje sheria ukisingizia pombe,utashughulikiwa tuMtu akishalewa unategemea kweli atende kosa akishirikisha ubongo wake!!??
Mazingira ya tukio ni kwenye club ya pombe.....
Ombaneni msamaha mka-settle hii kesi nje ya mahakama
January 21, 2024 ni keshokutwa?Yeah hapo kesho kutwa
Mliopo huko mtupe updates maana tarehe yenyewe ndio ilikuwa leo.
Nini kimejiri?
Jamaa kachelewa kufika mahakamani imehairishwa tenaMliopo huko mtupe updates maana tarehe yenyewe ndio ilikuwa leo.
Nini kimejiri?
Wanapoteza muda ili watu waisahau..Jamaa kachelewa kufika mahakamani imehairishwa tena
Jamaa ashapewa mlungula wamemalizana chini kwa chini hapo anazugazuga tuWanapoteza muda ili watu waisahau..
Maelekezo kutoka juu...Jamaa ashapewa mlungula wamemalizana chini kwa chini hapo anazugazuga tu
Hakuna kesi hapooo mkuu story nzima fwatilia Kuna mtu ANAKULA hela za dogo mfogomdogo akitaja tar dogo anawekwa sawa akipinda inahairoshwaKesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.
Pia Soma
Tarehe hiyo ilipangwa jana Jumatano, Novemba 20, 2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Is-haq Kupa, wakati ilipoitwa kwa ajili ya usikilizwaji wa awali huku upande wa mashtaka ukieleza unatarajiwa kuwa na mashahidi 12 na kuwasilisha vielelezo kadhaa.
- DOKEZO - √ - Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi
- Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana
Derick (36), ambaye ni Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkazi wa Salasala jijini Dar es Salaam anakabiliwa na mashtaka mawili, kujeruhi na kutembea na silaha hadharani kwa namna ya kuleta utisho, akidaiwa kutenda makosa hayo Oktoba 27, saa 12.30 asubuhi, eneo la Maaki katika Club ya 1,245, iliyopo wilayani Kinondoni.
Katika shtaka la kwanza, Anadaiwa katika shtaka la kwanza alimjeruhi usoni sehemu ya jicho na puani Julian Bujuru kwa kumpiga kwa kitako cha bastola.
MWANANCHI