Kuna mambo yanaweza kuwaweka Serikali kwenye mtego kwa kila maamuzi yatakayofanyika kwenye kesi ya Tundu Lissu.
Kama Serikali itamfunga Tundu Lissu haya ndio yanaweza kukutana nayo:
1. External pressure, nchi za Ulaya zitazidi kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania kwa uzito mkubwa sana.
2.Machafuko yanaweza kutokea, Chadema haitakubali Wanaweza kuorganize maandamano na wapenzi wote wa Tundu Lissu pamoja na wale wote wanaona Lissu anaonewa.
3.Maridhiano ya Kitaifa yanaweza yasifanyike tena tukabaki kwenye mkwamo wa kisiasa ili maridhiano yafanyike yanahitaji pande zote kuridhiana kwa pamoja yaani ( Serikali, CCM, CHADEMA na WANANCHI ) kama upande mmoja au mbili wanaingia wakiwa wamejeruhiwa ni ngumu maridhiano hayo kufanyika.
Je vipi kama Lissu ataachiliwa kuwa huru haya yanaweza kutokea:
1.Umaarufu wa Tundu Lissu utakuwa mkubwa mara dufu sambamba na Chama chake cha kisiasa kuliko Raisi na CCM kiujumla, Lissu ataonekana ni shujaa na mtu mwenye nguvu kubwa ya kisheria kutokana na kwamba Lissu amejipambania mwenyewe
2.Atadai fidia, atawashitaki Serikali kwa kumpotezea muda wake kwa kumpa kesi ya uongo
3.Vuguvugu la kisiasa litapanda moto, Tundu Lissu anasifika Kama mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja ndio maana ana ushawishi mkubwa kama Heche kwa kipindi chote Lissu yupo gerezani alikuwa anatingisha kwa hoja zake nzito vipi kama watakuwa wote kwa pamoja itakuaje