Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Mimi ilinitokea kwa mtoto wa ndugu yangu. Tulikuaga tunafanya kama dua kila alkhamis na jumatatu hapa nyumbani utaratibu ulianzishwa na marehemu wazee wetu tukaona na sisi tuuendeleze.. Mwaka Jana tukaja gundua ustadh mmoja alikua anambaka mtoto wa ndugu yangu ambaye ana umri wa miaka tisa na hii tena hapa hapa nyumbani tukiwa hatupo tuko makazini.. Yaani hawa watu sitaki hata kuwasikia maustadh. Never leave your child na sheikh au ustadh wa madrasa
Mwaka Fulani wakati nafundisha kuna ustaadhi alikuwa anakuja kufundisha dini pale shuleni ajabu yule jamaa alikuwa anataka kufundisha watoto wa kike tu tena std seven,siku moja kundi la watoto wa kike wakanifuata wakaniambia mwl sisi hatumtaki yule ustaadhi anatushikashika maziwa wakati anatufundisha[emoji15][emoji15]Mara moja nikamtimua yule ustaadhi pale shuleni,jamaa Wana pepo la ngono hao Kama mtume wao
 
Ni kweli kwakuwa walimwiga Muhammad (S.A.W)
..Kwa hiyo unakiri kuwa Mapadri ni wafuasi wa Muhammad! na pia nakupongeza wa kumtakia kheri mtume wa Mungu! lakini kumbuka kuwa Muhammad alikuja baada ya Issa Bin Mariam (Yesu) na suala la ubakaji lilikuwepo kabla ya hata Issa kuzaliwa rejea matendo ya wafalme wa dola la Roma!
 
Hii case anatoboa, hakulamatwa on the spot, hizi stori zingine zitakosa uthinitisho wa maana
...Hakukamatwa on spot! kwani wabakaji wote wanaopatikana hatia hukamatwa on spot! Ripoti ya daktari inatosha kutia hatiani!
 
Mwaka Fulani wakati nafundisha kuna ustaadhi alikuwa anakuja kufundisha dini pale shuleni ajabu yule jamaa alikuwa anataka kufundisha watoto wa kike tu tena std seven,siku moja kundi la watoto wa kike wakanifuata wakaniambia mwl sisi hatumtaki yule ustaadhi anatushikashika maziwa wakati anatufundisha[emoji15][emoji15]Mara moja nikamtimua yule ustaadhi pale shuleni,jamaa Wana pepo la ngono hao Kama mtume wao
Huku ni kutaka kudhalilisha dini ya watu wengine kwa upuuzi wa mtu mmoja..na rejea ya mtume wao wala sio sahihi...haya niambie Mapadri na waseja wa kikatoriki wenye kashfa ya ubakaji na ulawiti duniani kote wana pepo la ngono la kumuiga nani?
 
Hivi marehemu mtume alioa binti wa miaka9?
 
Iwapo atapatika na Hatia ningeiomba Mahakama itoe Adhabu kali hata sijui hao Watoto kama wamepimwa Virusi
 
Wazazi wa sasa wengi hawana malezi bora wao kazi yao ni kuzaaa malezi sijui wanamwachia dunia, sisi katika malezi yetu ukirudi tu ukiwa tofauti tu mama atakudadisi kama ukimpa majibu yasiyo nyooka anaanza kukufuatilia
 
Huu utaratibu wa hizi madrasa uangaliwe upya ubakaji wa watoto umezidi sana huyu mhusika lazima ale mvua ya 30

Lakini tatizo litabaki palepale lazima mbinu mpya za ufundishaji madrasa zibuniwe ili kukomesha hili tatizo kama pawepo wasimamizi wengine wa jinsi zote, mwisho wa kutoka watoto iwe saa 12, na wachukuliwe na walezi wao mikeka akusanye mwl wao nk
Vigezo vya kuanzisha, kufundisha na udhibiti wa Madrassa viwekwe wazi. Vinginevyo ni hatari kwa mustakabali wa Taifa
 
..Useme pia tuwaogope waseja kwa kikatoliki na mapadre kuna kesi zao kama hizi kibao..

Wao huwa zinafutwa kanisa wanazificha sana unakumbuka keai ya padre kimario iliishia juu kwa juu kanisa linapesa huwa linazizima kesi za hivyo
 
kama mzazi.....ya mahakamani yaendelee.....but.....kwa gharama yyte ile....lazima nimle ustadhi............nikimkosa huyo.....ustadhi yeyote wa madrasaa......a must........kesi yangu ya kumla ustadhi......sbb ni mtu mzima.....ntajua huko mbele....lazima nmchovye kinyesi......
 
walimu wasiajiriwe tu bali waangaliwe historia zao za nyuma kwanza.
 
Back
Top Bottom