Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini: Updates

Endelea kuwakilisha bila kukata tamaa, labda ungetujuza na kilichojiri huko mahakama ya rufaa kama umefanikiwa kuhudhuria ama kama umezipata kutoka kwa Aly Mley mwenyewe.
 
Unajua hawa JF miongoni mwao wameshanunuliwa na jamaa wa maeneo fulani na hawajuani,kama kungekuwa na forum nyingine ambayo inaeleweka zaidi ya JF wasingetuona hapa,kwa taarifa yenu JF iko mikononi mwa watu fulani mpaka sasa!
 
Mmmhhhh
 
Sor Ali , huwezi kushinda kesi hii , sikukatishi tamaa but you are not Mchgj not a Padr, not even Mkuu wa Kigango fulani hutoki kaskazini nani atashughulika na issue yako?
 
JF wakati mwingine imekuwa kama gulio fulani kimbunga anasema ameongea nao wote wawili wamesema kesi imefutwa wewe umesema umeongea na Ali kuwa kesi ipo mahama ya rufaa which is which?? jipangeni mtupe habari inayoeleweka!!
 
Pambana kamanda usikate tamaa,CDM wekeni pia mikakati ya kumdondosha CHEMBA 2015.
 
Haki ya mtu haipotei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…