Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Endelea kuwakilisha bila kukata tamaa, labda ungetujuza na kilichojiri huko mahakama ya rufaa kama umefanikiwa kuhudhuria ama kama umezipata kutoka kwa Aly Mley mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua hawa JF miongoni mwao wameshanunuliwa na jamaa wa maeneo fulani na hawajuani,kama kungekuwa na forum nyingine ambayo inaeleweka zaidi ya JF wasingetuona hapa,kwa taarifa yenu JF iko mikononi mwa watu fulani mpaka sasa!Kesi ya Uchaguzi Kigoma mjini imeendelea leo katika mahakama ya rufaa kwa kusikilizwa pigamizi la Peter Serukamba wa CCM dhidi ya maombi ya Ali Mley wa CDM kutaka mahakama ya rufaa ifanyie marejeo maamuzi ya Jaji Ester Mugasha kuifuta kesi hiyo baada ya Ali MLEY na wakili wake kumtaka jaji huyo ajitoe kwenye kesi kwa madai ya upendeleo kwa CCM.
Source nimepata brief kwa ALI MLEY wa CDM
Unajua hawa JF miongoni mwao wameshanunuliwa na jamaa wa maeneo fulani na hawajuani,kama kungekuwa na forum nyingine ambayo inaeleweka zaidi ya JF wasingetuona hapa,kwa taarifa yenu JF iko mikononi mwa watu fulani mpaka sasa!
Ali mley wa chadema anaendelea kupambana na peter serukamba wa ccm kesi hii hairipotiwi na magazeti na haipati msukumo wa cdm;ila kijana mley bado yupo vitani leo kesi ilikuwa mahakama ya rufaa Dar es Salaam; kusikiliza pingamizi la ccm dhidi ya maombi ya Mley kutaka mahakama ya rufaa ifanyie marejeo maamuzi ya jaji Ester Mugasha kuifuta kesi mahakama kuu baada ya Mley na wakili wake kumtaja jaji huyo ajitoe kusikiliza kesi hiyo kwa madai ya kumpendelea Peter Serukamba.
Peter Serukamba wa ccm ameweza kudhibiti kabisa habari za kesi hii kutoka katika vyombo vya habari
mahakama ya rufaa itatoa maamuzi kwa njia ya pingamizi la CCM kwa njia ya notice
source nilikuwa maeneo ya mahakamani na kupata brief kutoka kwa Ali Mley wa Chadema
Kesi ya Uchaguzi Kigoma mjini imeendelea leo katika mahakama ya rufaa kwa kusikilizwa pigamizi la Peter Serukamba wa CCM dhidi ya maombi ya Ali Mley wa CDM kutaka mahakama ya rufaa ifanyie marejeo maamuzi ya Jaji Ester Mugasha kuifuta kesi hiyo baada ya Ali MLEY na wakili wake kumtaka jaji huyo ajitoe kwenye kesi kwa madai ya upendeleo kwa CCM.
Source nimepata brief kwa ALI MLEY wa CDM