Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu.
Kwa kesi hii baada PGO sasa ni wasiojulikana ndio kitakuwepo mahakamani sasa.
Kwa kesi hii baada PGO sasa ni wasiojulikana ndio kitakuwepo mahakamani sasa.

