Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake Watatu kuendelea tena tarehe 26/10/2021

Wale mlio karibu au mlio mahakamani kabisa tunawategemea zaidi kupata mtiririko wa kesi kadri itakavyokuwa inaendelea chini ya Jaji mpya kijana.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Wamrudishe Luvanda, maana wote ninwale wale.. Wana hongwa vyeo wana sahau viapo vyao mbele ya Mungu.
 
SSHaliposema hataki kodi za dhuluma nilianza kumuelewa sasa huu uonevu na mkono chuma tena ni dhuluma dhidi ya haki ya wadio kosa.....dhambi kubwa mnooo
 
Imakatiwa rufaa...tusubkri muongozo wa jopo la wakili wasomi
Great! Ila Jaji husika ndio ameshakuwa boss; wenzie watamuumbua au watamsitiri? Ngoja tusubiri.
 
Fanya kazi zako huko uwatengenezee hata watoto wako Urithi wa kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…