Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
DAhila aisee kuna watu wanavaa "mavazi ya kuashiria utakatifu kwenye dini fulani" ila moyoni mwao bora hata OSAMA .,View attachment 1931761
Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .
View attachment 1931748View attachment 1931750
Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .
View attachment 1931758
Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
ona katoto ka Mbowe maskini wa Mungu, eeh baba, Fanya kutupunguzia mtesi , kama ulivyofanya mwezi ule.