Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu yaendelea kuvutia Mabalozi na Wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa

View attachment 1931761

Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .

View attachment 1931748View attachment 1931750

Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .

View attachment 1931758

Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
DAhila aisee kuna watu wanavaa "mavazi ya kuashiria utakatifu kwenye dini fulani" ila moyoni mwao bora hata OSAMA .,

ona katoto ka Mbowe maskini wa Mungu, eeh baba, Fanya kutupunguzia mtesi , kama ulivyofanya mwezi ule.
 
Huyo mdhungu kaja kudanga tu kortini. Haohao wanahudhuria kortini jioni utasikia haohao wametoa bilioni kadhaa kusapoti kazi nzuri ya serikali. Nyumbu huwa hamuwezi kujinasua na misimamo ya kijinga kama wataleban. Subirieni mvua zinamhusu DJ
Mataga bhana,Sasa mwanaume unaogopa jela?hata Mandela alishtakiwa kwa ugaidi fake lkn at the end alishinda,,mataga kaa kwa kutulia
 
hao wanaenda kuhakikisha jamaa anakula mvua ngapi maana walimpa hela nyingi waingie madarakani ili waje kula rasilimali zetu
Wewe ni miongoni mwa walitunga uongo kisha kumbambikia kesi Mh Mbowe. Roho inakuuma Sana unapomuona Akiwa bado na afya pamoja na tabasamu lake.
 
umemuona leo alivyoisha hawezi hata kushika chupa ya maji
 
SAWA NDUGU MBOWE ATATOKA JE SABAYA VIPI ALE MVUA?
Ndugu yangu,
Ninaamini kuwa PENYE haki, mwisho wa yote ni Mungu ndiye atakaetoa haki. KARIBU.
Mkiniomba chochote kwa jina langu, nitawafanyieni. Yohana 14:14
 
kwa mbowe umesema kishari kwa sabaya umesema kipole kuonyesha kuwa hupendio mbowe asemwe vibaya ila tungeanzia kwa sabaya ungesema huyo afungwe anamakosa vumilia tu mbowe imekaa vibaya anakula mvua
 
1631267714836.png
 
View attachment 1931761

Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .

View attachment 1931748View attachment 1931750

Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .

View attachment 1931758

Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
Dah! Mwamba anaingia nyavuni kimchezomchezo😩😩😩
 
kwa mbowe umesema kishari kwa sabaya umesema kipole kuonyesha kuwa hupendio mbowe asemwe vibaya ila tungeanzia kwa sabaya ungesema huyo afungwe anamakosa vumilia tu mbowe imekaa vibaya anakula mvua
Pole ndugu yangu,
nilichokisema chatoka moyoni mwangu nikiamini KUWA ni kweli na kitakuongoza na kukupa nguvu ya kumkataa SHETANI.
Japokuwa mwisho wa yote, uhuru wa kuchagua njia gani utaifuata ni wako WEWE mwenyewe na nafsi yako. Siku njema.
AMEN
 
Back
Top Bottom