Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Kesi hii ni mpango wa Mungu wetu kuiumbua CCM na Serikali yake dhalim. Aibu kubwa hii kutumia mamilioni ya kodi zetu kutunga kesi ya uongo kwa chuki za kisiasa tu. Polisi, TISS na Mahakama zimeji vunjia heshima sana.
Watu hawajajua haya;
Ukatili wa kijinsia.
Ukatili wa kisiasa.
Ukatili wa vyama.
Ukatili wa kidini.
NB!
Ukatili wa kivyama na kisiasa umeshika kasi kuliko vyote.
 
Huwezi kuamini ACP Kingai na Rais Hussein Mwinyi walimtumia Lingwea miamala sasa Sijui kwanini Muamala wa Mbowe ni kufadhili ugaidi !.
 
Back
Top Bottom