Kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake kuanza kusikilizwa Ijumaa na Jaji Mustapha Siyani

Hakuna kesi hapo, bali majizi ya kura yanaogopa katiba mpya., hivyo wanatumia mahakama zisizo huru kukomoa wanaotaka katiba mpya.
Hatujadili uchaguzi hapa kamanda, jikite kwenye hoja.
 
Watendaji wengi waliotoka TIS walipewa maagizo na mpindisha sheria. Mbowe asingepona Kama sugu
 
Haya hayana budi yatokee ili makusudi ya Mungu yatimie
 
Mungu anajua Mbowe anaonewa. Mungu akutetee. Mara nyingi Waislam wanaume wana sifa ya kumwogopa Mwenyezi Mungu kuliko Wakristo wanaume. Vilevile, Wanawake wa Kiislam hawana kawaida ya kutenda haki ukilinganisha na wenzao wa Kikristo. So they say.
 
Mungu endelea kumlinda Kibatala.

NB: Tz tujifunze yanayo endelea huko africa ya kati.
Wanasema huko ni mbali sana, hayaweza yakafika huku kwetu!

Unajua, ukiwa una'enjoyi' utamu, huwezi kukumbuka kwamba kuna mwonjo wa ukakasi pia.
 
Mwamba yupo imara ,akizingua nae tunamkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…