Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuumbuka tu huyu na yule aliekataliwa, wote waliteuliwa na kuapishwa na Mwendazake tena siku moja.Ombeni ajitoe kama inaruhusiwa kukataa majaji mfululizo na mpendekeze mlie na imani nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuumbuka tu huyu na yule aliekataliwa, wote waliteuliwa na kuapishwa na Mwendazake tena siku moja.Ombeni ajitoe kama inaruhusiwa kukataa majaji mfululizo na mpendekeze mlie na imani nae.
Huyo jaji lazima afuate matakwa ya majizi ya kura, maana wao ndio wanalinda ugali wake.huyu sio jaji wa mkakati
Ngoja tuone kwanza usimshutumu kabla ya kesi kusikilizwa.Huyo jaji lazima afuate matakwa ya majizi ya kura, maana wao ndio wanalinda ugali wake.
Hatujadili uchaguzi hapa kamanda, jikite kwenye hoja.Hakuna kesi hapo, bali majizi ya kura yanaogopa katiba mpya., hivyo wanatumia mahakama zisizo huru kukomoa wanaotaka katiba mpya.
Wanasema huko ni mbali sana, hayaweza yakafika huku kwetu!Mungu endelea kumlinda Kibatala.
NB: Tz tujifunze yanayo endelea huko africa ya kati.
Unaonaje ukihamishwa kwanza wewe na hao wenzako mnaochukulia kwamba nchi hii ni yenu?Hama nchi.
Nenda Afghanistan kwa TalibanAngalau kwa Maoni Yangu Wenzetu Dini Yao wana hofu na Mungu...
Ule usemi: "Kanzu mpya, Shehe yule yule", si ajabu ukawa na nafasi yake hapa.
Tumefanikiwa kumkataa Jaji, lakini mwenye Mamlaka au Wajibu wa kupanga Majaji je?
Kama atatenda haki, tutamshukuru, ila kuondoa yote haya, Katiba Mpya pekee ndio suluhisho.
Sina imani na Serikali, Bunge wala Mahakama, bali nina imani na Mungu alie juu.
Pumbavu mkubwa.Wewe ni parody la Lumumba CCM
Hatujadili uchaguzi hapa kamanda, jikite kwenye hoja.