abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Again mkuu unazidi kujionyesha ni jinsi gani ulivyo katili na bado unaingia nyumba za ibada,muda sio mrefu upepo utageuka na utaonyeshwa ni jinsi gani upendo na ithamini wa utu wa mwanadamu ulivyo bora .heading imenifanya nikimbilie kufungua uzi haraka ila ulichoandika ndani ni utopolo
mpaka sasa tuna orodha ya majina 27Wasiojulikana wameanza kujulikana
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Tutolee ujinga wako hapa. Jadili mada.Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Uwe na desturi ya kuheshimu wanacho amini wengine kwasababu hata unacho amini wewe hakuna kilipo halalishiwa ulimwengu mzima zaid ya kujihalalishia mwenyeweAllah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Picha yake tumjue zamu yao kudili nao kimya kimya hawa waovu baada ya baba yao kufa hawana Kinga tenaNdie alie mtapeli Prof Maeda kwa kumsingizia kwamba kumekutwa meno ya tembo nyumbani kwake.
Halafu nini kilizuia asiuwawe hadharani?Hao sio waliomkamata Waziri Nappe Nauye na kutaka kumuua hazarani
Unaweza ukawa umevaa nguo kumbe upo uchi.Wasiojulikana wameanza kujulikana
Henry Kisanduku na genge lake kwa maelekezo ya bashite,Nape kapewa rungu anyooke nao hao bushmen.Hao sio waliomkamata Waziri Nappe Nauye na kutaka kumuua hazarani
Albadili iliponda kichwa hivi ni vimizizi vidogo inamalizia Kazi tuMkuu kwa nguvu ya albdiri tuliyo ifanya watanzania lazima watajane
True hatuwezi kupona bila kuwapeleka wahuni sehemu salama Ili wasiharibu tena Jamii walitutesa Sana tuliishi kama kosovo vile.Very soon kama taifa tutapata uhuru
Yaweke wazimpaka sasa tuna orodha ya majina 27
Nchi za wenzetu huyu jumanne angeokotwa 'shimo la Tewa', anaeua kwa upanga nae afe kwa upanga tena wa moto.Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Maulidi Kitenge ndie aliyezuia bila yeye Ingekuwa historia.Halafu nini kilizuia asiuwawe hadharani?
Acheni kuwa mnaropoka ovyo ovyo!
Huyo atacheza na damu na roho za marehemu hadi aione Dunia chungu.Nchi za wenzetu huyu jumanne angeokotwa 'shimo la Tewa', anaeua kwa upanga nae afe kwa upanga tena wa moto.