Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.

Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.

MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu

Kwa hiyo wakili wa upande wa utetezi akisema alihusika na matukio hayo, basi wote bila kuhusisha vizuri halmashauri za vichwa vyetu tukubalie tu na kushangilia kama mazuzu, kisa tu katekenya masikio yetu na story tunazozipenda, hata kama ni za kubumba tu.

WaTanzania wa sasa hatuko hivyo, tukidanganyika ujue tumeamua, lkn haimaanishi kwamba hatujui ukweli.
 
Mungu kawanyima maarifa Ili wamkamate Mbowe Ili watz waone madhambi yao KILA kitu kitawekwa wazi Mungu alianza na Sabaya katuonyesha sabaya akakiri wao ndio walimtuma kukwepa aibu wakamfunga.
Mdogo mdogo tutawajua wote walioshiriki dhuluma ikiwemo dereva aliyembeba Azory akauliwe,crew nzima iloyomteka Roma Mkatoliki na wote walioshiriki dhuluma.
Huwezi ukaikimbia nature hata iweje na hakuna Siri duniani kuna ulimwengu usioonekana hawa ndio watoa Siri kwa wanadamu wanaonekana.
Unaroga pekee yako usiku asubui watu wanajua.
 
Wasiojulikana wameanza kujulikana
Unaweza ukawa umevaa nguo kumbe upo uchi.
Walikuwa wanawarekodi video kabla ya kuwaua au kuwateka kisha wanampelekea shetani Ili aamini kama ni kweli wamemaliza kazi tuombe Mungu hizo video ziangukie mikononi Mwa watu zisambae watu waone uovu wao,Mungu ni mwema keshaanza waweka wazi.
Hakuna asiyejulikana ambae atojulikana baada ya shetani kupondwa kichwa vinyoka vimetawanyika.
 
Hao sio waliomkamata Waziri Nappe Nauye na kutaka kumuua hazarani
Henry Kisanduku na genge lake kwa maelekezo ya bashite,Nape kapewa rungu anyooke nao hao bushmen.
Henry Kisanduku ndie aliyemteka Roma Mkatoliki kwa maagizo ya ndani ya mkoa wangu.
 
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.

Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.

MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Nchi za wenzetu huyu jumanne angeokotwa 'shimo la Tewa', anaeua kwa upanga nae afe kwa upanga tena wa moto.
 
Halafu nini kilizuia asiuwawe hadharani?

Acheni kuwa mnaropoka ovyo ovyo!
Maulidi Kitenge ndie aliyezuia bila yeye Ingekuwa historia.
Nape kapewa kilengeo na wabaya wake target mbele yake
 
Back
Top Bottom