Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Wasiojulikana wameanza kujulikana
Hawa watu walifikiri uovu wao utasitirika milele.
damu za watu 'huita' kwa damu, ouvu hulipwa kwa uovu
Laana ya damu itatembea nanyi hadi kifo cha aibu na mateso.
 
Again mkuu unazidi kujionyesha ni jinsi gani ulivyo katili na bado unaingia nyumba za ibada,muda sio mrefu upepo utageuka na utaonyeshwa ni jinsi gani upendo na ithamini wa utu wa mwanadamu ulivyo bora .
Kwenye heading maelezo hayafanani na maelezo yaliyofuatia!

Wametajwa na nani?

Kwa uthibitisho gani?

Kama ni mwanasheria kawataja na amejiridhisha na ushahidi alionao,ni kwa nini asiwafungulie kesi?

Acheni kufungua Topic za kichadema za uzushi uzushi, halafu mnaanza kusupport wenyewe kwa wenyewe huku mkijua mnaongopa.

Huu ni uhuni,tulieni kesi iendeshwe na kama ni ukweli tuujuwe mwisho wa kesi.

Hii ingine ni kutapatapa tu.
 
Maulidi Kitenge ndie aliyezuia bila yeye Ingekuwa historia.
Nape kapewa kilengeo na wabaya wake target mbele yake
Maulid kitenge alikuwa ba SMG au silaha gani dhidi ya wale maafisa wa TISS?

Acheni uzandiki na uchonganishi mnaouendekeza mpaka hata Samia anawaumbua majukwaani, maana jana tayari mlikwishaanza na Mh saana Lukuvi.
 
Tulia tazama nature inavyofanya Kazi yake.
Kama huku shikriki kumwaga damu haikuhusu
 
Mbona wa mashtaka waliposema Mbowe kahusika kupanga ugaidi mliamini mpaka mkuu wa nchi akasema na wengine walishafungwa?
Si mmeamua nchi iende kwa hisia tulieni tuli wakati wsiojulikana wakiwa wamekanyaga waya.
 
Na bado,kama ulishiriki kuufanya huu unyama,anza kutubu mapema,Mungu huwa habariki dhuruma
 
Siongelei kuhusu kesi,ninachokisema ni kuporomoka mno kuhusu kujaliana kama binadamu,ukatili na unyama umetamalaki mno including wewe ambaye hufikirii hilo,elewa your innocent until court of law iamue vinginevyo na why tunaweweka mahabusu suspects kwa muda mrefu wakati kesi zao zipo mahakamani?why we can bail them?pls jitahidi muda mwingine kufikiria kama human being usiwe kama mafikirio ya kikaburu au ushetani.
 
Maulid kitenge alikuwa ba SMG au silaha gani dhidi ya wale maafisa wa TISS?

Acheni uzandiki na uchonganishi mnaouendekeza mpaka hata Samia anawaumbua majukwaani, maana jana tayari mlikwishaanza na Mh saana Lukuvi.
Moja kwa moja wewe ni katika wale division 4 aliowataja Simbachawene
 
Mbona wa mashtaka waliposema Mbowe kahusika kupanga ugaidi mliamini mpaka mkuu wa nchi akasema na wengine walishafungwa?
Si mmeamua nchi iende kwa hisia tulieni tuli wakati wsiojulikana wakiwa wamekanyaga waya.

Kwani kesha hukumiwa kwa maneno yale!!!?

Anyways, strange thing to me is both former dc and mp of Hai are behind the bars.
 
Ndie alie mtapeli Prof Maeda kwa kumsingizia kwamba kumekutwa meno ya tembo nyumbani kwake.
Alafu eti mpaka leo yupo kazini na ni shahidi wa kuaminiwa wa serikali,

Tz ni nchi ya ovyo kutokea toka kuumbwa kwa dunia.
 
Kwa iyo kwa maandishi haya ina maana na Sisi wenye ID fake tutajulikana. Mbona unatutisha sasa
 
True hatuwezi kupona bila kuwapeleka wahuni sehemu salama Ili wasiharibu tena Jamii walitutesa Sana tuliishi kama kosovo vile.
Wao wanajiona leo hii wamesimama lkn wajue kuwa kesho wanaweza kujikuta wamechuchumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…