Kama ni nature, basi hata Mbowe inamhusu yeye alimuondoa Rasta wetu wa Tarime au mnadhani tumesahau?
Acheni kujitoa ufahamu...ndio maana Kubenea aliwahi kutamka kwamba Mbowe ndie anajua kila kitu kuhusu Ben Sanane
Tangu alipookolewa na Polisi dhidi ya raia wenye hasira, toka kwenye msiba wa Rasta.
Mbowe hatakaa akanyage Tarme....hamjiulizi kwa nini?
Tuleteeni Deus Malya ahojiwe upya.....
Mleteni dereva wa Lissu ili atoe ushirikiano, mnamficha Ubelgiji kwa nini?
Chadema acheni hizo, wenye chama chao wana siri kali.
Nyinyi endeleeni kubofya bofya keyboards tu.
Ina maana Mbowe ni untouchable yupo juu ya sheria,ndo kusema polisi wanamuogopa Mbowe kuhusu kifo cha rasta.
Mbona familia ya rasta still wapo na Mbowe na ni wanachadema.
Kwann amtaki wachunguzi wa kimataifa waje wachunguze ishu ya rasta,ben,lisu?
Dereva aje Ili mmalize kufuta ushahidi, mnashindwa nini kumfata alipo kwenye usalama zaidi na kumuhoji alipo nauli ya kumfata ipo.
Mnashindwa vipi kumtumia interpol au mamlaka za nchi alipo zifanye mahojiano nae kwa niaba yenu, mnashindwa vipi kumuhoji kwa simu,video,nk kupitia technology. hawezi kuja hadi hakikisho la usalama wake.
Kwann mling'oa cctv camera?
Kwann mliwahamisha maaskari waliowafungulia magaidi geti baada ya tukio.
Kwann mlizuia Lisu kuombewa,kuzuia wabunge kwenda hospital kumuona,watz wasimchangie damu.
Kwann mlimnyima haki yake ya matibabu,
Kwann mlifukuza ubunge sababu ya ugonjwa hali Nimrod Mkono still ni mbunge kwa the same case ya kutoonekana bungeni tangu alipochaguliwa?
Ukijibu haya ni kweli Mbowe anahusika.
Mungu kawanyima maarifa Ili mkamate Mbowe tuwajue wasiojulikana.