Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kina Halfan Bwire
Adam Hassan
Mohamedi Lingwenya...
Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe.

Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
 
Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Slave ni kiswahili?Toa boriti kwenye jicho lako kabla hujaona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.Pukuchaka.
 
Tulia tazama nature inavyofanya Kazi yake.
Kama huku shikriki kumwaga damu haikuhusu
Kama ni nature, basi hata Mbowe inamhusu yeye alimuondoa Rasta wetu wa Tarime au mnadhani tumesahau?

Acheni kujitoa ufahamu...ndio maana Kubenea aliwahi kutamka kwamba Mbowe ndie anajua kila kitu kuhusu Ben Sanane

Tangu alipookolewa na Polisi dhidi ya raia wenye hasira, toka kwenye msiba wa Rasta.

Mbowe hatakaa akanyage Tarme....hamjiulizi kwa nini?

Tuleteeni Deus Malya ahojiwe upya.....
Mleteni dereva wa Lissu ili atoe ushirikiano, mnamficha Ubelgiji kwa nini?

Chadema acheni hizo, wenye chama chao wana siri kali.

Nyinyi endeleeni kubofya bofya keyboards tu.
 
Ww jiwe mangap amekudanganya na ukashangilia kama zuzu???
Kwa hiyo wakili wa upande wa utetezi akisema alihusika na matukio hayo, basi wote bila kuhusisha vizuri halmashauri za vichwa vyetu tukubalie tu na kushangilia kama mazuzu, kisa tu katekenya masikio yetu na story tunazozipenda, hata kama ni za kubumba tu.

WaTanzania wa sasa hatuko hivyo, tukidanganyika ujue tumeamua, lkn haimaanishi kwamba hatujui ukweli.
 
pale ni mahakamani sio kijiweni. watu wanajua wanachonena. halafu jana Kabendera aliandika twita hatasahau sura ya huyo Jumanne,maana alihusika kwenye utekaji na utesaji
 
Kama ni nature, basi hata Mbowe inamhusu yeye alimuondoa Rasta wetu wa Tarime au mnadhani tumesahau?

Acheni kujitoa ufahamu...ndio maana Kubenea aliwahi kutamka kwamba Mbowe ndie anajua kila kitu kuhusu Ben Sanane

Tangu alipookolewa na Polisi dhidi ya raia wenye hasira, toka kwenye msiba wa Rasta.

Mbowe hatakaa akanyage Tarme....hamjiulizi kwa nini?

Tuleteeni Deus Malya ahojiwe upya.....
Mleteni dereva wa Lissu ili atoe ushirikiano, mnamficha Ubelgiji kwa nini?

Chadema acheni hizo, wenye chama chao wana siri kali.

Nyinyi endeleeni kubofya bofya keyboards tu.
Ina maana Mbowe ni untouchable yupo juu ya sheria,ndo kusema polisi wanamuogopa Mbowe kuhusu kifo cha rasta.
Mbona familia ya rasta still wapo na Mbowe na ni wanachadema.
Kwann amtaki wachunguzi wa kimataifa waje wachunguze ishu ya rasta,ben,lisu?
Dereva aje Ili mmalize kufuta ushahidi, mnashindwa nini kumfata alipo kwenye usalama zaidi na kumuhoji alipo nauli ya kumfata ipo.
Mnashindwa vipi kumtumia interpol au mamlaka za nchi alipo zifanye mahojiano nae kwa niaba yenu, mnashindwa vipi kumuhoji kwa simu,video,nk kupitia technology. hawezi kuja hadi hakikisho la usalama wake.
Kwann mling'oa cctv camera?
Kwann mliwahamisha maaskari waliowafungulia magaidi geti baada ya tukio.
Kwann mlizuia Lisu kuombewa,kuzuia wabunge kwenda hospital kumuona,watz wasimchangie damu.
Kwann mlimnyima haki yake ya matibabu,
Kwann mlifukuza ubunge sababu ya ugonjwa hali Nimrod Mkono still ni mbunge kwa the same case ya kutoonekana bungeni tangu alipochaguliwa?
Ukijibu haya ni kweli Mbowe anahusika.
Mungu kawanyima maarifa Ili mkamate Mbowe tuwajue wasiojulikana.
 
Ndie alie mtapeli Prof Maeda kwa kumsingizia kwamba kumekutwa meno ya tembo nyumbani kwake.
Ukiangalia Kwa makini Serikali ndiyo iliyowatuma wahalifu hawa kutenda unyama ule. Ndivyo vilivyokuwa mojawapo ya vyanzo vya mapato ya Serikali ya awamu ya tano.

Iweje mwalifu huyu Hadi leo yuko uraiani wakati ushahidi wa Takukuru dhidi yake ulikuwa wazi???
 
True check hata wale magaidi waliotaka kumuua Zakaria wa mabus baada ya wananchi kuwazunguka wawapige moto police walitoka wapi dakika ile kama awakuwa wanajua magaidi wameingia Tarime kwa lengo lipi?
 
Albadili immemtafuna aliyewatuma hadi imalize kazi wote juzi immemtafuna kazi.
Kama ulitenda uovu jiandae
 
Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe.

Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
Umempiga na kitu kizito huyu tikiti
 
pale ni mahakamani sio kijiweni. watu wanajua wanachonena. halafu jana Kabendera aliandika twita hatasahau sura ya huyo Jumanne,maana alihusika kwenye utekaji na utesaji

Siyo mara zote kinachonenwa mahakamani kinakuwa kweli na amini.

Halafu huyo kabendera siyo wa kumuamini hata kidogo. Alitumika kwa masilahi yake kuihujumu nchi kwa kupeleka taarifa hasi kimataifa. Huyo tayari ana doa la usaliti, na muda wowote ule wakimuhitaji kuanza kuichafua Tanzania tena atakubali tu. Maana yeye anachotaka ni pesa tu. Ndiyo maana wengi wana walakini na uraia wake.
 
Mbona wa mashtaka waliposema Mbowe kahusika kupanga ugaidi mliamini mpaka mkuu wa nchi akasema na wengine walishafungwa?
Si mmeamua nchi iende kwa hisia tulieni tuli wakati wsiojulikana wakiwa wamekanyaga waya.
Da!!! !
Jibu zuri Sana hili
 
Usishangae kesi ikageukia kwa serikali kuonekana wabaya kuzidi.
Inawezekana ikaigeukia serekali ya Awamu ya 5, lakini pia nashangazwa na huyu wakili anaye unganisha kesi ya mbowe na huo utekaji, ushambuliaji wa lissu na kupotea kwa akina Ben.
JEE KUNA MPANGO WA KUMHUSISHA MBOWE NA HAYO MATUKIO YA LISSU NA BEN?

Hapa kuna kaa uchafu unafanywa na watu wa utetezi
 
Back
Top Bottom