Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe.Kina Halfan Bwire
Adam Hassan
Mohamedi Lingwenya...
Usiwe na papara kafiri, uliza kwa stahaAllah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Slave ni kiswahili?Toa boriti kwenye jicho lako kabla hujaona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.Pukuchaka.Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Kama ni nature, basi hata Mbowe inamhusu yeye alimuondoa Rasta wetu wa Tarime au mnadhani tumesahau?Tulia tazama nature inavyofanya Kazi yake.
Kama huku shikriki kumwaga damu haikuhusu
Kwa hiyo wakili wa upande wa utetezi akisema alihusika na matukio hayo, basi wote bila kuhusisha vizuri halmashauri za vichwa vyetu tukubalie tu na kushangilia kama mazuzu, kisa tu katekenya masikio yetu na story tunazozipenda, hata kama ni za kubumba tu.
WaTanzania wa sasa hatuko hivyo, tukidanganyika ujue tumeamua, lkn haimaanishi kwamba hatujui ukweli.
pale ni mahakamani sio kijiweni. watu wanajua wanachonena. halafu jana Kabendera aliandika twita hatasahau sura ya huyo Jumanne,maana alihusika kwenye utekaji na utesajiKwa hiyo wakili wa upande wa utetezi akisema alihusika na matukio hayo, basi wote bila kuhusisha vizuri halmashauri za vichwa vyetu tukubalie tu na kushangilia kama mazuzu, kisa tu katekenya masikio yetu na story tunazozipenda, hata kama ni za kubumba tu.
WaTanzania wa sasa hatuko hivyo, tukidanganyika ujue tumeamua, lkn haimaanishi kwamba hatujui ukweli.
Imeshaonekana Mkuu. Serikali ndiyo inayowatesa raia wake badala ya kuwalinda.Usishangae kesi ikageukia kwa serikali kuonekana wabaya kuzidi.
Ina maana Mbowe ni untouchable yupo juu ya sheria,ndo kusema polisi wanamuogopa Mbowe kuhusu kifo cha rasta.Kama ni nature, basi hata Mbowe inamhusu yeye alimuondoa Rasta wetu wa Tarime au mnadhani tumesahau?
Acheni kujitoa ufahamu...ndio maana Kubenea aliwahi kutamka kwamba Mbowe ndie anajua kila kitu kuhusu Ben Sanane
Tangu alipookolewa na Polisi dhidi ya raia wenye hasira, toka kwenye msiba wa Rasta.
Mbowe hatakaa akanyage Tarme....hamjiulizi kwa nini?
Tuleteeni Deus Malya ahojiwe upya.....
Mleteni dereva wa Lissu ili atoe ushirikiano, mnamficha Ubelgiji kwa nini?
Chadema acheni hizo, wenye chama chao wana siri kali.
Nyinyi endeleeni kubofya bofya keyboards tu.
Ukiangalia Kwa makini Serikali ndiyo iliyowatuma wahalifu hawa kutenda unyama ule. Ndivyo vilivyokuwa mojawapo ya vyanzo vya mapato ya Serikali ya awamu ya tano.Ndie alie mtapeli Prof Maeda kwa kumsingizia kwamba kumekutwa meno ya tembo nyumbani kwake.
True check hata wale magaidi waliotaka kumuua Zakaria wa mabus baada ya wananchi kuwazunguka wawapige moto police walitoka wapi dakika ile kama awakuwa wanajua magaidi wameingia Tarime kwa lengo lipi?Ukiangalia Kwa makini Serikali ndiyo iliyowatuma wahalifu hawa kutenda unyama ule. Ndivyo vilivyokuwa mojawapo ya vyanzo vya mapato ya Serikali ya awamu ya tano.
Iweje mwalifu huyu Hadi leo yuko uraiani wakati ushahidi wa Takukuru dhidi yake ulikuwa wazi???
kamuulize firauni mwenzako aliehifadhiwa Misri.Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Umempiga na kitu kizito huyu tikitiMawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe.
Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
pale ni mahakamani sio kijiweni. watu wanajua wanachonena. halafu jana Kabendera aliandika twita hatasahau sura ya huyo Jumanne,maana alihusika kwenye utekaji na utesaji
Vile vichwa vinafanya Kazi zaidi kuliko kamati kuu ya CCMAkina Kibatala ni zaidi ya Majasusi.
Kibatala na jopo lake ni Pasua kichwa.kila ubaya utalipwa
Da!!! !Mbona wa mashtaka waliposema Mbowe kahusika kupanga ugaidi mliamini mpaka mkuu wa nchi akasema na wengine walishafungwa?
Si mmeamua nchi iende kwa hisia tulieni tuli wakati wsiojulikana wakiwa wamekanyaga waya.
Inawezekana ikaigeukia serekali ya Awamu ya 5, lakini pia nashangazwa na huyu wakili anaye unganisha kesi ya mbowe na huo utekaji, ushambuliaji wa lissu na kupotea kwa akina Ben.Usishangae kesi ikageukia kwa serikali kuonekana wabaya kuzidi.