Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

Mods ndio huwa hawazingatii, mtu anaanzisha uzi wa update saa 2 asbh wakati Mahakama huanza saa 3 na bado wanaacha tu, Mahakama ikianza nikianza kuweka update na wao wanaungnisha na uzi wa saa 2 huwa nachukia lakini nafanyaje sasa ? 😅
Hata wewe hujui maana yake ni nini?

Wewe huoni utofauti wa lengo uliopo?

Hujazuiwa na hao JF kuleta toka mahakamani "mbashara" kama unavyofanya wewe, sasa tatizo la kulalamika linahusu nini?
 
Hata wewe hujui maana yake ni nini?

Wewe huoni utofauti wa lengo uliopo?

Hujazuiwa na hao JF kuleta toka mahakamani "mbashara" kama unavyofanya wewe, sasa tatizo la kulalamika linahusu nini?
Mkuu upo salama ?
Sioni haja ya kuni attack bila kuelewa nini hoja niliyoizungumzia. JF ndio nini ? Au sisi Members wa JF huwa tunaleta hizi updates.?
Hoja ni kwamba kwanini mtu anaanzisha uzi wa updates mapema kabla hata mahakama haijaanza ?

Halafu mimi nikianzisha updates kuendana na kinachoendelea mahakamani unaunganishwa na mtu ambaye alianzisha uzi mapema kabla ya Mahakama halafu hatoi updates.

JF Inaleta updates kutoka mahakamani kwani JamiiForums imeajiri waandishi wa habari siku hizi? 😂😂😂
 
Kazi yako imetukuka 👏 👏 👏
 
Subiri kidogo, utamwona "mtuhumiwa" sahihi, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mahakama hiyo.
Samia ndiye mhalifu; jambazi ambalo ndilo linawashikilia waTanzania kwa mitutu ya bunduki.
 
Subiri kidogo, utamwona "mtuhumiwa" sahihi, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mahakama hiyo.
Samia ndiye mhalifu; jambazi ambalo ndilo linawashikilia waTanzania kwa mitutu ya bunduki.
OK.
 
Listen mkuu,
Serikali ina play victim kwa yaliyotokea October 29 kwamba Mheshimiwa Lissu ndo sababu.

Juilize tulifikaje kule kwenye kukinukisha ?. CHADEMA kama mdau wa Siasa ana haki kwenye uwanja . CCM must play a fair game .

Huwezi kuengua wagombea wa CHADEMA alafu unataka wakae kimya. Lazima tudai haki kwanguvu. Kimeshanuka kweli kweli.
 
Blessings mkuu Manyanza .All credit kwako.
 
Eti wanasema Brenda Rupia anafanya kazi ya habari ambayo sio fani yake kuna Mawaziri wangapi wanasimamia vitengo ambavyo sio fani zao unakuta waziri yupo wizara ya Afya na Hana elimu yoyote ya mambo ya Afya.
Wao wenyewe makatibu wao wa itikadi na uenezi kuanzia kina Makala,Makonda,Kihongosi, Shaka wote hakuna mwenye taaluma ya habari.

Hivi vyeo inaangaliwa Uwezo wa kujenga hoja, kujieleza, karisma na uwezo wa kushawishi umma.
 
Nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu na akili alafu nashangaa watu wanaojibizana na wewe ambae hata hueleweki unaandika nini humu upo kama zezete unadandia treni kwa mbele mwisho ubakwe.

Sikuwa namaana kukuelewesha wewe 🫎🫎🫎 wewe utawaelewa kina zebra na fisi maji🫎✍️
 

Wewe nitakujibu baadae japo umeelewe msingi wangu✍️
 
Common wealth ilishasema kesi ni ya uwongo na lisu aachiwe bila masharti lakini bado wanalazimisha uongo kwa sababu wanamiliki mahakama
 
Naona Dalili za Kunyongwa zikikaribiaJe, afungwe maisha ao anyongwe?
Bila ya hivyo hamna uwezo wa kushindana na Lissu hoja zenu ni kumuua ndio zilipoishia. Magufuli alipanga kumuua akafa yeye. Samia ndio analengo hilo karibuni tu innalillah wainnailayhi rajiuun. Kashaondoka mwenzake bado yeye. Kila aliyeshindna na lissu kutaka kumdhulumu uhai wake ameshaonda duniani.

Magufuli, Job ndugai,waliokamata bunduki na huyu aliyejiweka madarakani yuko njiani.
 
Lissu Kunyongwa ni Afya kwa Taifa
 
Akina nani walimpiga risasi Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…