Unajidhalilisha sana, sijui kwa sababu zipi hasa!
Unajidhalilisha sana, sijui kwa sababu zipi hasa!
Stupid ni wewe na hilo kahaba lenzako la kizimkaziYaani wewe unahaki ya kusemea watanzania wote? Stupid Wewe fanya yako na mimi nafanya yangu
Kwani bi kizimkazi ,majaliwa na mpango ni chadema?Hivi Lissu ana mashahidi ambao sio viongozi wenzake Chadema? Hara kama watasema patakuwa na ki doubt kuwa wanasema hivyo kumlinda Mwenyekiti wao. Hivi hawakuweza kumpata mtu ambae hana uhusiano na Lissu kumtetea?
Amandla...
Wametoa ushahidi? Na kweli alitegemea Rais wa JMT kutoa ushahidi? Au PM na VP waliopita? Pamoja na wenzake katika chama, angeweza kuita watu kutoka ACT, Chaumma watu kama Ulimwengu na hata kutoka nje ya nchi kumtetea.Kwani bi kizimkazi ,majaliwa na mpango ni chadema?
Kwahiyo hao wastaafu wakina pm na VP wapo juu ya sheria?Wametoa ushahidi? Na kweli alitegemea Rais wa JMT kutoa ushahidi? Au PM na VP waliopita? Pamoja na wenzake katika chama, angeweza kuita watu kutoka ACT, Chaumma watu kama Ulimwengu na hata kutoka nje ya nchi kumtetea.
Amandla...
Nasema hivi, ule upuuzi uliokuwa unajifanya kutoa tathmini ya kesi, sasa umejianika kuwa haikuwa tathimini, bali matamanio yako na ya muuaji Samia, hivyo usipanick, kaa kwa kutulia.Yaani wewe unahaki ya kusemea watanzania wote? Stupid Wewe fanya yako na mimi nafanya yangu
Ili kodi zetu zitumike vibaya.
Uchaguzi upo kwa mjibu wa sheria ambao ni huru na haki, tofauti na hapo hata walio shiriki uchaguzi ambao sio huru na haki wamevunja sheria Lupia yupo sawa for 100%Brenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.
Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
Hamna shida hata Samia atakapoenda atatoa ufafanuzi vizuri wa hayo maneno, au na yeye ataenda kama shahidi wa kificho?
Kwahiyo hao wastaafu wakina pm na VP wapo juu ya sheria?
Sasa kwanini walimwambia ana kesi ya kujibu?
Unajitahidi sana kumuiga Tlaatlaah kwenye kuleta hoja za kutibua ili ufuatiliwe lakin it's so bad huna kiwango hicho hata Ile akili ya haraka hauna unaishia kuandika ujinga tu humu jukwaani ebu rudi Facebook huko.
Napoteza muda kujibizana na Id za mamluki za 2026
Mawakili wa serikali kwa sasa walicho baki nacho ni mipasho kama ya khadija Kopa ***** na Zuchu, Mrembo wa chadema anawatoa kamasi , chadema hakunaga mtu Fala , Hata Mbowe amejiunga nao maccm kupiga pesa zao tu ,ila kichwani anajua anacho kifanya.WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 12.
MAJAJI WAMEREJEA MAHAKAMANI
1. Mawakili wa Serikali wapo tayari.
2. Lissu yupo tayari.
3. Shahidi yupo tayari kizimbani.
Jaji Ndunguru: Tuendelee upande wa mashtaka.
Ajuaye Zegeli: Waheshimiwa Majaji, kolamu ipo vilevile.
Upande wa mashtaka upo tayari kuendelea na maswali ya dodoso.
Jaji Ndunguru: Mshtakiwa.
Lissu: Nipo tayari, Mheshimiwa.
Tawabu: Uliulizwa kuhusu Mwenyekiti kurusha matangazo ya Jambo TV, ukasema hiyo ni uongo kwa sababu Mwenyekiti siyo mfanyakazi wa Jambo TV.
Je, Mshtakiwa alikupitisha katika mashtaka dhidi yake?
Brenda: Alinipitisha wakati ananihoji.
Tawabu: Kwa hiyo, alikupitisha katika mashtaka yake ya kuchapisha kupitia Jambo TV, ndiyo maana ukasema yeye siyo mfanyakazi wa Jambo TV?
Brenda: Ndiyo, alisema hivyo.
Tawabu: Nikuonyeshe sasa hati ya mashtaka. Unionyeshe sasa wapi aliposhitakiwa kuchapisha habari kupitia Jambo TV kwenye hayo mashtaka.
Brenda: Ngoja nisome.
(Anasoma)
Brenda: Tundu...
Haipo.
Tawabu: Kwa hiyo, nitakuwa sahihi nikisema utetezi ulioutoa hapa Mahakamani hauhusiani na hii kesi?
Brenda: Unahusiana kwa asilimia 100.
Tawabu: Kuna watu uliwataja kwenye Sekretarieti, akina John Heche.
Brenda: Sijamtaja John Heche katika Sekretarieti.
Tawabu: John Kitoka?
Brenda: Ni sehemu ya Sekretarieti.
Tawabu: John Pambalu?
Brenda: Ni sehemu ya Sekretarieti.
Tawabu: John Mnyika?
Brenda: Ni sehemu ya Sekretarieti.
Tawabu: Ili uwe Sekretarieti ni lazima uitwe John?
Brenda: Siyo kweli. Mbona mimi naitwa Brenda?
Tawabu: Nilisikia unasema mmiliki wa content ni mwenye chombo cha habari.
Brenda: Ni sahihi.
Tawabu: Unamfahamu mtu anaitwa Diamond Platnumz?
Brenda: Namsikia.
Tawabu: Mboso Khan?
Brenda: Namsikia.
Tawabu: Marioo?
Brenda: Namsikia.
Tawabu: Wanajishughulisha na nini?
Brenda: Muziki.
Tawabu: Kile wanachokiimba kikichezwa kwenye TV siyo chao?
Brenda: Ni chao.
Tawabu: Ila Jambo TV wakicheza ya Lissu ni ya Jambo?
Brenda: Sijui, mimi nimezungumza kwa Lissu na Jambo TV.
Tawabu: Nilikusikia ukisema haya maneno kwenye hati ya mashtaka unaona siyo kosa.
Brenda: Ndiyo, siyo kosa.
Tawabu: Haya maneno ulitaka ayaseme kwa muda gani?
Brenda: Hata angesema asubuhi, mchana au usiku, kwa sekunde mbili, bado siyo kosa.
Tawabu: Kuna mahali alikuwa anakuuliza kama haya maneno alimtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mkurugenzi wa Mashtaka, Mkuu wa Mkoa, na wote ukasema hakuwataja. Na akakuuliza kama haya maneno yanatishia Serikali, ukasema hapana.
Brenda: Ndiyo.
Tawabu: Wewe ni nani kati ya hawa? Wewe ni Rais?
Brenda: Mimi siyo Rais.
Tawabu: Wewe ni Waziri Mkuu?
Brenda: Mimi siyo Waziri Mkuu.
Tawabu: Wewe ni Msemaji wa Serikali wa Tanzania?
Brenda: Mimi siyo Msemaji wa Serikali.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Listen mkuu,
Serikali ina play victim kwa yaliyotokea October 29 kwamba Mheshimiwa Lissu ndo sababu.
Juilize tulifikaje kule kwenye kukinukisha ?. CHADEMA kama mdau wa Siasa ana haki kwenye uwanja . CCM must play a fair game .
Huwezi kuengua wagombea wa CHADEMA alafu unataka wakae kimya. Lazima tudai haki kwanguvu. Kimeshanuka kweli kweli.
Akina nani walimpiga risasi Lissu?
NRNE ilikua kauli ya maana sana , nini sasa kilitokea 29 Oct ,je yangezingatiwa leo tungekua katika majozi kama taifa mpaka sasa ? Achana na sie mtu mmoja mmoja ambae nimepoteza wanangu wawili na hawakua kwenye maandamano , mke wangu hawezi kupata mtoto tena ,ni kamoja tu kamebaki na kapo Uganda ,nilikazaa kwenye ujana huko ndo kamebaki faraja kwa familia .Kutaka reforms za uchaguzi, kuikosoa Tume na kusema uchaguzi usifanyike bila reforms si ushahidi wa moja kwa moja wa uhaini. Serikali inabidi itenganishe political opposition na criminal conspiracy.
Kama kuna ushahidi wa Lissu kupanga, kuamuru au kuchochea kitendo kinachokidhi elements za offence, uweke mezani. Kama hakuna, usijenge connection kwa assumptions na associations.
Na kama baada ya ushahidi wote huo bado hawajaweza kuthibitisha elements zote beyond reasonable doubt, basi iachwe kesi. Serikali icheze kama pele kwenye kuthibitisha ina confidence kwenye taasisi zake. Serikali yenye nguvu inaweza kukubali kushindwa kwenye kesi bila kuogopa, halafu ikatumia nguvu yake kwenye mambo yenye maana zaidi ili kupata credit zaidi. Electoral reforms, constitutional reforms, kujenga trust na wananchi na kuhakikisha uchaguzi unaaminika.
SERIKALI ina ubavu wa kumshinda Lissu mahakamani, lakini bado ukapoteza hoja mbele ya wananchi.
Kwa kweli CCM yenyewe haihitaji kuogopa ushindani kiasi hicho. Imejenga historia ndefu kwenye nchi hii, ina mtandao mkubwa wa wananchi wa kawaida pia ina watu wengi wanaoiamini. Kupoteza madiwani, wabunge au maeneo fulani kwenye uchaguzi ni kawaida sana ,l akini hiyo haimaanishi CCM imepoteza nguvu zake kisiasa. Bado ina uwezo mkubwa sana wa kushinda uchaguzi wa urais na maeneo mengine muhimu.
Hawahitaji kutumia nguvu, vitisho wala advantage ya mamlaka ili kulazimisha mambo. Waende tu na upepo wa uelewa wa wananchi. Kama wananchi wanaona CCM inafanya vizuri, itashinda. Kama wanaona reforms zina maana, wazifanye. Kama Lissu ana hoja, mwacheni aziseme. Mwisho wa siku wananchi ndio waamue.
Relaaaaaaaax mkuu! Umaarufu humu hauji kwa kuleta hoja za hovyo kama upo majukwaa ya Facebook au uje kwa haraka kwa kuleta hoja za kijinga.Usipoteze muda jibidhana
kwa Hoja
Wasomaji wa Jamii forum wanapenda kusoma Hoja zetu sio chengine chochote✍️
Dah so sadNRNE ilikua kauli ya maana sana , nini sasa kilitokea 29 Oct ,je yangezingatiwa leo tungekua katika majozi kama taifa mpaka sasa ? Achana na sie mtu mmoja mmoja ambae nimepoteza wanangu wawili na hawakua kwenye maandamano , mke wangu hawezi kupata mtoto tena ,ni kamoja tu kamebaki na kapo Uganda ,nilikazaa kwenye ujana huko ndo kamebaki faraja kwa familia .
Bora sasa vijana wangu ningewaona na kuwazika ila sikuwaona mpaka sasa nilizika nguo zao tu .
Sasa sasa alie shauri uchaguzi uwe huru na haki ndo ati anapewa kesi ya uhani, vipi kama chadema wangeshiriki mauaji yangekua mangapi .Thanks Chadema
Kukinukisha neo la mtaani tu na lenye maana nyingi , mfano Lupia anasema kukinukisha ni kama kupika pilau , so leo ukiwambia familia yako kwamba tunakinukisha , chukua viongo vyote vya pilau nyama za kutosha ,tukinukishe nyumbani kwetu , unakua umefanya uhaini kwenye familia ?Mimi sijasema ni kosa au sio kosa
Nimesema kile kinabishaniwa pale Mahakamani ni Tafsiri ya ya neno kwa neno
Nikatoa mfano
Kukinukisha Tafsiri ya Mh Lissu ni Mashahidi wake ni kwamba maana yao neno Kukinukisha ni kutoa harufu kali 🤠🤠
Sasa nashangaa mnaniona ni kama nimesema nisawa ni uhaini
au katenda jambo bayaa ‼️
uko sijafika
Mimi lengo langu kuwaelewesha wasomaji kwa faida yao kile kinabishaniwa Mahakamani kwasasa
wapo kwenye kutafsi Lugha na maana yake✍️
Mkuu nashukuru ila maumivu yangu hayajapona bali ni mkono wa Mungu umenibeba tu ,Dah so sad
Pole sana mkuu