NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Hiyo video inatafutwa mahakamaniKwa wenye ulewa mdogo
Hii kesi ipo ivi
Chadema kupitia Mashahidi wake wote wanalengo moja tu kukataa maana ya aya meneno
Kisha wanakili kweli yametamkwa maneno ayo chini na Mwenyekiti wao❗️
lkn kwao wana Tafsiri yao tofauti na ile tunayoijua Watanzania
wote ❗️
Kiasi wengine wakafanya Fujo kumbe ndio kusema hawakumuelewa Mwenyekiti wa Chadema ❗️
yeye hakuwa na maana ile kukinukisha kwao nikutoa harufu kali sana 👈
Sijaongeza maoni yangu
nimeweka jinsi ilivyo pale Mahakamani
kinachobishaniwa👇
Acha ujinga tuambie INGREDIENTS za UHAINI.
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.
Swali ni kwamba,ni kosa kuzuia uchaguzi?
Kama ni kosa leta hicho kifungu cha sheria kinachotamka hivyo.
Sasa kwanini walimwambia ana kesi ya kujibu?Hawa jamaa wanatumia kodi zetu vibaya sana.
Hii kesi haina haja ya kupelekwa koote huku, video yenyewe majaji hawajaiona,sasa sijui watajiridhishaje kuwa ni kweli hayo maneno ni ya LISSU.
Katuga anajifanya kumuiga Lisu kuuliza muda mrefu, ila yeye anarudiarudia hayo hayo kila mara, na mara nyingi haulizi maswali yanayohusiana na kesi, bali maswali kuhusu uongozi wa cdm na porojo zinazotokana na propaganda za ccm, zisizo na mahisiano na kesi husika.Brenda nayeye anajua kujieleza
Ngoma itakuwa tamu na Katuga!!
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.
Hata Mimi najiuliza kama wewe wenye majibu watuambieMie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.
gonga IGNORE hiyo mikituBibi nenda kaungane na mjane mwenzio kizimkazi wewe malaya tuondolee vitwakimu vyako ulivyovitoa huko kwenye madanguro yenu
Kwani hayo maneno si hapo kwenye hiyo video kwanini sasa video ikataliwe halafu maneno yaliyoko kwenye hiyo video yaonekane yanashida?Kupitia Video ndio imekataliwa lkn kupitia njia nyengine bado kaonekana mh Lissu niyeye ndio katamka ayo maneno
Kumbuka Mashahidi wa Jamhuri nawao wametoa Ushahidi kuonesha aya maneno yametamkwa na yametolewa na mh Lissu
Ndiomana mh Lissu akapatikana na kesi
ya kujibu✍️
Rudi shule kwanza
Hebu kwanza 'Manyanza' ku'attack', maana yake ni nini hasa?Mkuu upo salama ?
Sioni haja ya kuni attack bila kuelewa nini hoja niliyoizungumzia. JF ndio nini ? Au sisi Members wa JF huwa tunaleta hizi updates.?
Hoja ni kwamba kwanini mtu anaanzisha uzi wa updates mapema kabla hata mahakama haijaanza ?
Halafu mimi nikianzisha updates kuendana na kinachoendelea mahakamani unaunganishwa na mtu ambaye alianzisha uzi mapema kabla ya Mahakama halafu hatoi updates.
JF Inaleta updates kutoka mahakamani kwani JamiiForums imeajiri waandishi wa habari siku hizi? 😂😂😂
Kwani hayo maneno si hapo kwenye hiyo video kwanini sasa video ikataliwe halafu maneno yaliyoko kwenye hiyo video yaonekane yanashida?
Sheria za kulinda chaguzi za wizi?Brenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.
Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
Hiyo video inatafutwa mahakamani
Unajitahidi sana kumuiga Tlaatlaah kwenye kuleta hoja za kutibua ili ufuatiliwe lakin it's so bad huna kiwango hicho hata Ile akili ya haraka hauna unaishia kuandika ujinga tu humu jukwaani ebu rudi Facebook huko.Wewe ndio uwelewa wako unatatizo iyo sio shida yangu kukufanya uwelewe kila kitu
Ndiomana kwenye MISS Tanzania na kwengineko wanachunguza zaidi Uwelewa wako ukoje kuelewa matukio endelea
kunywa Togwa kwenye chupa za Soda🫎🫎🫎