Hamna shida hata Samia atakapoenda atatoa ufafanuzi vizuri wa hayo maneno, au na yeye ataenda kama shahidi wa kificho?Sasa apo kupokea iyo video ni mh Lissu kapigania Mahakamani itakubaliana na mh Lissu ivyo Mahakama ikakataa iyo video
Kisheria lkn mh Lissu katoa vifungu mbali mbali kuonesha kwanini Mahakama
isipokee iyo video ✍️
Kupitia Mashahidi wa kificho na nk ndio wakajenga uwelewa kwamba ayo maneno ni ya mh Lissu kupitia njia nyengine sio video tena
Kwasasa kwakua tayali kuna kunaushahidi Mahakamani ya ayo maneno kukinukisha kuzuiya Uchaguzi nk
Ni wajibu wa Mh Lissu kujieleza na kutoa maana ya ayo maneno
Ndiomana tunaona mpaka Tafsiri za Bakita zinatumika kutoa mwanga wa maneno bishaniwa✍️
Ahsante Manyanza!WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 18.
Job Mrema: Na tamko hilo umelitoa kupitia chombo gani cha habari?
Brenda: Nimefanya Live TikTok kupitia kamera ya simu yako, na mtu yeyote aliyepo TikTok anaweza kukusikiliza.
Job Mrema: Ni sahihi kwamba ulilenga umma?
Brenda: Ni sahihi.
Job Mrema: Ilikuwa tarehe ngapi?
Brenda: Sikumbuki, ila ilikuwa kati ya Aprili mwaka jana hadi sasa, baada ya Mwenyekiti kukamatwa.
Job Mrema: Ni sahihi kuwa kutojua sheria siyo kinga?
Brenda: Ni sahihi.
Job Mrema: Na ni kweli kwamba jinai haiozi?
Brenda: Sahihi.
Job Mrema: Utakubaliana na mimi kwamba tamko ulilotoa ni kinyume na sheria?
Brenda: Sifahamu.
Job Mrema: Waheshimiwa Majaji, naomba kumalizia hapa ili niwaruhusu wenzangu waendelee na maswali.
Nassoro Katuga: Waheshimiwa Majaji, naomba kabla sijaendelea nimkabidhi kwanza Mshtakiwa nyaraka mbalimbali, ni cases mbalimbali.
Jaji Ndunguru: Mshtakiwa, unazihitaji?
Lissu: Nashangaa zimefikaje huko.
Nassoro Katuga: Mawakili wake ndiyo wametupatia, wakijua hawana locus katika hii kesi.
Lissu: Mawakili wa Serikali hawana mamlaka yoyote ya kugusa nyaraka zangu na hawana mamlaka ya kufanya clearance ya nyaraka zangu. You should never touch my documents again.
Nassoro Katuga: Na sisi hatutogusa nyaraka zake.
Dr. Nshala: Niliwapa Magereza, wakaomba nipitishe kwa Mawakili wa Serikali.
Nassoro Katuga: Hii sasa ni fujo. Huyu anayeongea hana locus ya kuzungumza.
Jaji Ndunguru: Naomba tuendelee, lakini siku nyingine tumia muda wa break kama unahitaji nyaraka zako, au iombe Mahakama ndiyo itatoa amri nani apewe nini wakati mwingine. Isitupotezee muda.
Lissu: Sawa.
Jaji Ndunguru: Tuendelee.
Nassoro Katuga: Waheshimiwa Majaji, naomba kupata mwongozo wa Mahakama hii. Nina maswali zaidi ya 50 na hayajirudii hata swali moja. Hata nikipewa saa moja sitamaliza.
Jaji Ndunguru: Malizia kwanza dakika 5 mlizopoteza wakati wa kujibizana kuhusu nyaraka, na nusu saa ya asubuhi tuliyopoteza.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, naomba tuendelee. Asubuhi haiwezi kuwa kosa la Magereza kuanza saa 3:30, sababu Magereza walinifikisha saa 3 asubuhi.
Jaji Ndunguru: Tuendelee kidogo.
Nassoro: Nitakuwa sahihi kwamba wewe, ndugu yangu, kama kaka na dada, kwa maana Rupia ni Mnyamwezi?
Brenda: Huwezi kuwa kaka yangu wakati unataka Mwenyekiti wangu anyongwe.
Jaji Ndunguru: Tuendelee, mnapoteza muda.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, tarehe 29 Oktoba 2025 ulikuwa wapi?
Brenda: Nilikuwepo nyumbani.
Nassoro Katuga: Nyumbani wapi?
Brenda: Nyumbani Basihaya.
Nassoro Katuga: Tuambie cheo chako kingine kwa hapa Pwani.
Brenda: Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kinondoni.
Nassoro Katuga: Ulitaja hapo mwanzo?
Brenda: Nilitaja.
Nassoro Katuga: Ulisema kwamba uliangalia social media inayoitwa Jambo TV?
Brenda: Ni kweli.
Nassoro Katuga: Kuna social media inaitwa Jambo TV?
Brenda: Ni YouTube channel.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo, mwanzo haikuwa sahihi kusema social media ya Jambo TV?
Brenda: Ndiyo, kwa sababu unani-confuse.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kwamba unaniconfuse.
Brenda: Yeah, unani-confuse.
Nassoro Katuga: Si umesema mimi siyo kaka yako?
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, uliposema slang ni lugha ambayo siyo rasmi.
Brenda: Utakuwa sahihi.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama ulisema maana ya slang na inatumika na group gani.
Brenda: Nilisema maana yake, ila sikusema inatumika na group gani.
Nassoro Katuga: Kama nilikusikia ukisema kwamba kukinikisha ni kukifanya kinukie, ni slang au Kiswahili rasmi?
Brenda: Kukinukisha siyo Kiswahili rasmi.
Nassoro Katuga: Nikifanya hiki kinuke, nitakuwa sahihi kusema nakinukisha?
Brenda: Both.
Nassoro Katuga: Kwa kuwa hujataja ni kundi gani, kwa sisi watoto wa mjini, kukinikisha ni slang inayotumika na vijana wengi.
Brenda: Utakuwa sahihi.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sahihi nikisema kukinikisha ni kwenda kufanya jambo fulani?
Brenda: Kwenda ni sawa, ila kufanya jambo sina hakika.
Nassoro Katuga: Hebu waambie Waheshimiwa Majaji, kwa cheo chako...
Jaji Ndunguru: Hilo litakuwa swali la mwisho.
Nassoro Katuga: Hebu waambie Waheshimiwa Majaji, kwa cheo chako, kama nimekusikia umesema Rais wa Serikali ya Muungano hajatajwa.
Brenda: Nilisema katika paragraph aliyonisomea Mwenyekiti.
Nassoro Katuga: Sasa waambie Waheshimiwa Majaji, Serikali ya Muungano ni kitu gani?
Brenda: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nassoro Katuga: Serikali ya Muungano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ni kitu sawa?
Nassoro Katuga: Naomba ni-pause hapo. Niliambiwa ni swali la mwisho.
MAHAKAMA: Shauri linaahirishwa mpaka kesho saa 3:00 asubuhi.
MAHAKAMA: Shahidi hujamaliza kutoa ushahidi wako. Utatakiwa kuwa hapa kesho saa 3:00 asubuhi.
MAJAJI WANATOKA.
TUKUTANE KESHO ASUBUHI.
Unaandika kwa Mihemko. Tumia ubongo acha kutumia cha ArushaSheria za kulinda chaguzi za wizi?
Kigogo bora hao ulowataja,Kuna hii ya Kihehe sijui inaitwa Msambatavangu....... Hii ndio Shangingi kabisa la kutupaKama ESTA BULAYA na ESTA MATIKHO
Kutaka reforms za uchaguzi, kuikosoa Tume na kusema uchaguzi usifanyike bila reforms si ushahidi wa moja kwa moja wa uhaini. Serikali inabidi itenganishe political opposition na criminal conspiracy.Kuna kitu kimoja naona tunakichanganya sana. Hii issue ya reforms za Tume ya Uchaguzi na Katiba haikuanza na Lissu kuwa chairman wa CHADEMA. Ilikuwepo miaka mingi kabla yake. Kwa hiyo kuiweka kila kitu kwenye kauli za Lissu kama vile yeye ndiye aliyeanzisha haya mambo ni kupiga chenga tu.
Na kuhusu oct 29, tusichanganye pia. CHADEMA kutaka mabadiliko na watu wengine nje ya chama kutaka mabadiliko ni vitu viwili tofauti na kupanga au kutekeleza vurugu. Watu wanaweza kuwa na sababu moja ya jumla lakini kila mmoja akawa na agenda yake.
Kwa hii kesi, serikali inabidi ithibitishe kwa ushahidi, sio kuunganisha tu watu na matukio kwa sababu wanaonekana kuwa upande mmoja. Judiciary nayo isiingizwe kwenye kazi ya kisiasa. Kama ushahidi upo, leta ushahidi na kesi iishe, kama haupo, kesi isiendelee kuwa adhabu yenyewe.
CCM ingekuwa na akili zaidi ikimuacha Lissu awe mpinzani mkubwa kuliko kujaribu kumaliza kisiasa kupitia mahakama. Lissu akiwa nje anailazimisha CCM ijibu hoja, ifanye reforms, ijipange na ishinde kisiasa. Ukimfanya awe symbol wa kudhulumiwa, unampa nguvu zaidi.
Kama CCM inaamini kweli ina nguvu, mwache Lissu azungumze, mwache CHADEMA iseme wanachotaka, halafu CCM iwashinde kwenye siasa.
Maswala ya kitaifa yaingiliwe na mambo ya imani ya mtu?Ishu ni je wale mashahidi vigogo wa serikali nao watakuja kutoa ushahidi upande wa mtuhumiwa? Mmoja amepatwa na msiba kuondokewa na mwenzi wake, kwa imani ya dini yake atatakiwa kukaa eda siku kadhaa, labda awe wa mwisho kutoa ushahidi na kesi iarishwe hadi siku za eda zipite. Waanze wale vigogo kwanza kwa kufuata itifaki ya kazi zao, aanze yule polisi mkubwa
Ndio furaha yako?Lissu Kunyongwa ni Afya kwa Taifa
Alizoea maswali ya multiple choice , na huwa ni 50 Hadi 100, ndio maana anataka kuuliza maswali namna hiyoKatuga anajifanya kumuiga Lisu kuuliza muda mrefu, ila yeye anarudiarudia hayo hayo kila mara, na mara nyingi haulizi maswali yanayohusiana na kesi, bali maswali kuhusu uongozi wa cdm na porojo zinazotokana na propaganda za ccm, zisizo na mahisiano na kesi husika.
Wapumbavu ni kama wewe asiyejuwa maana na tofauti kati ya "uchaguzi huru na haki" na uchafuzi.Brenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.
Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
Ulijifanya unatoa tathimini ya kesi mwanzo, kadiri muda unavyokwenda unazidi kuanika matamanio yako na sio huo upuuzi wa jamuhuri hapo mahakamani.Unaandika kwa Mihemko. Tumia ubongo acha kutumia cha Arusha
Upepo umefunua makalio kwa sasa yapo waziUlijifanya unatoa tathimini ya kesi mwanzo, kadiri muda unavyokwenda unazidi kuanika matamanio yako na sio huo upuuzi wa jamuhuri hapo mahakamani.
Hii video imenisikitisha sana .
Yaani wewe unahaki ya kusemea watanzania wote? Stupid Wewe fanya yako na mimi nafanya yanguUlijifanya unatoa tathimini ya kesi mwanzo, kadiri muda unavyokwenda unazidi kuanika matamanio yako na sio huo upuuzi wa jamuhuri hapo mahakamani.
Huko CCM kumejaa mijitu yenye roho mbaya na sura mbaya
Subiri kesi ya mhalifu Samia mwenyewe ndipo ulete takwinu zaaina hii.TATHMINI YA HAKI
🔴 KUNYONGWA: 86%
🟢 KUACHIWA: 14%
Ili kodi zetu zitumike vibaya.Sasa kwanini walimwambia ana kesi ya kujibu?
Hiyo kesi yako ya dhahaniaSubiri kesi ya mhalifu Samia mwenyewe ndipo ulete takwinu zaaina hii.
Usisahau; Samia yanamsubiri mengi, na watu wa aina yako hamtaonekana tena mkimtetea kwa uovu wake.
Hata kama hatatokea mahakamani kama shahidi, jambo ambalo najuwa hawezi; lakini natamani sana upande wa utetezi wapate njia/fursa ya kulifikisha neno hili "REFORM" wakilihusisha moja kwa moja na huyo aliyetishiwa kupinduliwa/kuuliwa.Mojawapo ya R hizo ni REFORMS jambo ambalo Lissu na Chadema wamekuwa wakilipigania.