Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

Hivi Lissu ana mashahidi ambao sio viongozi wenzake Chadema? Hara kama watasema patakuwa na ki doubt kuwa wanasema hivyo kumlinda Mwenyekiti wao. Hivi hawakuweza kumpata mtu ambae hana uhusiano na Lissu kumtetea?

Amandla...
Kwani bi kizimkazi ,majaliwa na mpango ni chadema?
 
Wametoa ushahidi? Na kweli alitegemea Rais wa JMT kutoa ushahidi? Au PM na VP waliopita? Pamoja na wenzake katika chama, angeweza kuita watu kutoka ACT, Chaumma watu kama Ulimwengu na hata kutoka nje ya nchi kumtetea.

Amandla...
Kwahiyo hao wastaafu wakina pm na VP wapo juu ya sheria?
 
Yaani wewe unahaki ya kusemea watanzania wote? Stupid Wewe fanya yako na mimi nafanya yangu
Nasema hivi, ule upuuzi uliokuwa unajifanya kutoa tathmini ya kesi, sasa umejianika kuwa haikuwa tathimini, bali matamanio yako na ya muuaji Samia, hivyo usipanick, kaa kwa kutulia.
 
Brenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.

Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
Uchaguzi upo kwa mjibu wa sheria ambao ni huru na haki, tofauti na hapo hata walio shiriki uchaguzi ambao sio huru na haki wamevunja sheria Lupia yupo sawa for 100%
 
Hamna shida hata Samia atakapoenda atatoa ufafanuzi vizuri wa hayo maneno, au na yeye ataenda kama shahidi wa kificho?

Rais hawezi kwenda❗️
Labda kama kwenda kumsabahi mh Lissu 👈
 
Sasa kwanini walimwambia ana kesi ya kujibu?

Sababu Mashahidi wa kificho ndio wamaweza kuisaidia Mahakama kuelewa kwamba ni kweli kuna maneno yametamkwa nayo ndio yale kukinukisha kuzuiya Uchaguzi nk.

Kupitia Mashahidi Kupitia Ushahidi tofauti na ile Video ambayo Mahakama imeikataa baada ya mh Lissu kufanikiwa kujenga hoja za Msingi kuikataa Kisheria ✍️

Chamuhimu kujiuliza au tujiuilize sote

KWANINI MH LISSU AMEIKATAA IYO VIDEO NA NI YAKE MWENYEWE

tukiacha 🫎🫎🫎🫎👈 mtaelewa kuna tatizo kwenye yale Maneno ❗️

Ivyo Mashtaka yake hajasingiziwa kama Nyumbu wengi wanavyotaka iyeleweke ivyo!

Kwamba kasingiziwa Kesi pia ni uwongo mbele za Mungu✍️
 

Usipoteze muda jibidhana
kwa Hoja

Wasomaji wa Jamii forum wanapenda kusoma Hoja zetu sio chengine chochote✍️
 
Mawakili wa serikali kwa sasa walicho baki nacho ni mipasho kama ya khadija Kopa ***** na Zuchu, Mrembo wa chadema anawatoa kamasi , chadema hakunaga mtu Fala , Hata Mbowe amejiunga nao maccm kupiga pesa zao tu ,ila kichwani anajua anacho kifanya.

Kwamba Mkwe akampa chama then akiuwe kiraisi , angekua na nia iyo asingetangaza kushindwa kwenye uchaguzi mapema , wajinga flani kama yule Bwana wa mizimu wapo kipumbavu pumbavu ,hope Mbowe sio Fala, msimuone yupo kimia may be it was a plan japo nguvu nyingi kupitia kwa wapambe ilikua juu sana kwenye uchaguzi.

Mara kakasema nje ya Mbowe chadema inakufa ndani ya siku kadhaa kiko wapi , chama sasa kipo kwenye hali ya juu sana , imani ya wananchi imeongezeka mara 200 kwa chama ichi.
 

Kabla sijaenda mbali kukujibu Unakumbuka wkt wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kuliundwa Bunge la Katiba????
 
NRNE ilikua kauli ya maana sana , nini sasa kilitokea 29 Oct ,je yangezingatiwa leo tungekua katika majozi kama taifa mpaka sasa ? Achana na sie mtu mmoja mmoja ambae nimepoteza wanangu wawili na hawakua kwenye maandamano , mke wangu hawezi kupata mtoto tena ,ni kamoja tu kamebaki na kapo Uganda ,nilikazaa kwenye ujana huko ndo kamebaki faraja kwa familia .

Bora sasa vijana wangu ningewaona na kuwazika ila sikuwaona mpaka sasa nilizika nguo zao tu .

Sasa sasa alie shauri uchaguzi uwe huru na haki ndo ati anapewa kesi ya uhani, vipi kama chadema wangeshiriki mauaji yangekua mangapi .Thanks Chadema
 
Usipoteze muda jibidhana
kwa Hoja

Wasomaji wa Jamii forum wanapenda kusoma Hoja zetu sio chengine chochote✍️
Relaaaaaaaax mkuu! Umaarufu humu hauji kwa kuleta hoja za hovyo kama upo majukwaa ya Facebook au uje kwa haraka kwa kuleta hoja za kijinga.

Wewe hoja zako na hata uchangiaji wako kwa vitu vya msingi umekaa kitoto hauleti challenge yeyote zaidi ya kujiaibisha tu humu mkuu na wewe kinachokuCost zaidi huenda ni umri au kiwango cha elimu yako.

Hebu siku nyingine ukikuta nyuzi zinazohitaji watu wenye akili jaribu kukaa benchi kidogo tulia kuliko kujionyesha namna gani uwezo wa akili yako ulivyo mdogo kuchanganua mambo.

Wenzio Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hao unaotaka kuwaiga wanaleta hoja na nyuzi za porojo lakini wanakitu ndani ya hizo porojo zao ambazo zinahitaji akili ndani yake kutengeneza kitu au kushawishi.
 
Dah so sad
Pole sana mkuu
 
Kukinukisha neo la mtaani tu na lenye maana nyingi , mfano Lupia anasema kukinukisha ni kama kupika pilau , so leo ukiwambia familia yako kwamba tunakinukisha , chukua viongo vyote vya pilau nyama za kutosha ,tukinukishe nyumbani kwetu , unakua umefanya uhaini kwenye familia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…