Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

Kuna watu kisa wapo kwenye nafasi flani wanadhani maisha yanaweza endelea kama kawaida wakati wengine nyoyo zetu zinavuja damu maana ya 29 Oct 2025 yalitufika moja kwa moja na bila hatia , hawa mawakili wa serikali ,waheshiwa majaji n.k waliguswa moja kwa moja? Kama waliguswa na kusimamia haya ya lissu basi wapelekwe Milembe.

Mtu unawekeza kwa watoto wako kwa jasho na Dam then wanauliuwa koasara tu kisa mtu mmoja kukamata nafasi flani , hii haiwezekaniki ndugu zangu , vipi alikua waziri mkuu , MP anauliwa mwanae kizembe kabisa and the like panakalika ? Why sie tusio huko watoto wetu wauliwe kijinga , sio majambazi , tusipate uchungu au nyoyo zetu kuuma , kwa hili langu popote pale nitatoa ushahidi , ila sio kwa mahakama za ndani ya nchi
 
Mbowe mtoe kabisa,huyo ni ccm tangu enzi na enzi
 
Nini ambacho humuelewi Manyanza anachokilalamikia hawa ambao wanaanzisha nyuzi wanaanzisha alafu wanaacha njiani sio kwamba anakataa wao kuwa na uzi
 
Je wewe unaamini hayo maneno ni uhaini? Kuwa mkweli ukitoa ushabiki
 
Mwanangu wa mmoja alikua anasoma uharubani huko S.A amekuja likizo na kwenda muona baba yake akiwa na mdogo wake huko Misumi , pia mdogo wake alikua ansomea mambo mzuri tu , wakauwawa MO 29 .
KUMBUKA
nilijima hata kula ugali bila mboga wanangu watimize ndoto zao , then wanauliwa kisa uchaguzi , naichukia ccm mpaka vizazi vyao katika ccm
 
MiCCM inavyotunisha macho na makalio humo mahakamani inakuwa kama mitutusa au misukule.
 
Brenda leo kakiwasha sanaa, halafu hili li katuga bichwa cabbage limeanza upuuzi wake was maswali ya kiwaki. Yaan huyu sijui yukojee km limetoroka milembe, sijui limeahidiwa nini hili li mbwa linanikera hadi baasi, pumbaavu.
Safi sana
 
Nini ambacho humuelewi Manyanza anachokilalamikia hawa ambao wanaanzisha nyuzi wanaanzisha alafu wanaacha njiani sio kwamba anakataa wao kuwa na uzi
Kuna ugumu gani kuelewa hadi sasa kwamba kuna utaratibu wa kuweka ukurasa wa mbele matukio ya yaliyosemwa kortini kwa ukamilifu wake kabla ya michango ya wasomaji wa kurasa zote.
Hiki ndicho kinachofanyika, na Manyanza hajazuiwa kuweka ya kwake.

Kuna ulazima gani wa kuweka taarifa ileile kuwa kwenye mada mbili tofauti.
Kuna kinachokosekana kwa anayetafuta taarifa?
 
Wao na Rais wana kinga dhidi ya kushtakiwa kwa chochote walichofanya/ watakachofanya wakiwa ofisini. Na hakuna ambae anaweza kuwalazimisha kutoa ushahidi kama hawataki.

Amandla....
Hii sheria mbovu itafutwa na haitatambuliwa kuwalinda hawa wanaofanya maovu waziwazi kwa waTanzania.

There must be a way around it.
Hakuna sheria inayolinda wahalifu wanaojuwa wazi wazi kuwa wanafanya uhalifu dhidi ya wanaowaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…